Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Ila mwanamke anasema anao japo nimetumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel alafu nikapiga punyeto sijui ss kama apo ndo nilijipa ugonjwa
kwa ninihakukuambia kabla?
 
Ninao ninao subiri vipimo,ninao ninao usikate tamaa,ninao ninaooo,dokta usinipe moyo ni sawa na mfupa kumpa kibogoyoo

Duniani mimi sina umuhimu kuiaga dunia inanilazimu
 
Back
Top Bottom