Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Hawa jamaa ndio manake wamelegea sana, km mangese vile walai
 
Hawa jamaa ndio manake wamelegea sana, km mangese vile walai
Tumelegeaje, mbona tunawakazia mambo mob na mnaachiaga, choma vifaranga, ban your products, ban your planes, etc, yote ayo na mnashindwa reciprocate, si ma **** tu nyinyi wakunya wote, mnapigwa na Ethiopians, Ug migingo, nada reciprocity, nani waliolegea.
 
Hzo kampuni unazozitaja zingine zipo china na zinafanya poa..
Wale ni wajamaa lkn hawaez kukubali kuwehuka na heka hekayq km za kwenu
Na walienda baada ya mambo kukaa sawa kwani walienda kipindi China ndo inajipanga kukua? Wale wamekua kwa soko lao la ndani na makampuni yao ya ndani ndo baadae hao mabwana zenu wakaenda huko........huku ndo kwanza tunaandaa uwanja waache shobo mambo yaive kwanza
 
Hahaha!!mkiambiwa nyinyi bado mpo ovyo sana mnakataa, yani mwanume mzima unasifia chips[emoji23][emoji23]
Kweli jamani, yani unaanzaje kw mfano
Shida njaa zinawasumbua ndo maana ukashindwa kuelewa point nzima....hapo naona maudenda yamekujaa kisa kusikia chips hadi akili zimekuruka
 
Hawa jamaa ndio manake wamelegea sana, km mangese vile walai
Mangese ni nyie ndo maana mazungu yanawapenda maana wakiwaletea visenti wanateleza tu kama nyoka pangoni.........tena wewe utakua na basha huko mombasa anajisevia wowowo lako na mbwa wake
 
Chips zinapendwa kama mwanaume wa kikuyu anavyopenda matako ya mbuzi/ng'ombe wake
 
Hawa jamaa ndio manake wamelegea sana, km mangese vile walai
Punguza wivu na uchungu, unamtukana mtu kisa anakula anachopenda kwani yeye ndio alifanya ninyi mfe njaa? Yeye ndio kafanya mchemshe mawe?
 
Mbona wakenya mnaichukia CCM hivi? 🀣🀣🀣

Yaani unaipachika sehemu ambayo hata Hakuna kichwa wala mguu!
 
Hii ni legacy yetu world wide, Tanzania inajulikana kwa chips mayai na nyama choma as our national dishes, ninyi mna kipi zaidi ya githeri (makande) 🀣🀣🀣🀣

Ndio maana wengi wenu mna udumavu wa akili kwa kukosa protein

CCM inawabania mabwana zao wazungu ndo maana wanatoka povu sana
Cha ajabu mabwana zao hawakauki kila siku kwenye office za CCM, huyu balozi kapeleka ujumbe wa Rais Macron kwa Katibu Mkuu wa CCM πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hahaa! [emoji1] Kijana wa chipsi, usiwe na presha kipendacho moyo ni dawa. Hebu type hilo neno nyama choma kwenye search engine yako uone kama halitaambatana na jina Kenya, Safari, Simba, Hakuna Matata. 😎
 
Vibaka mnajulikana na hilo halitupi shida ndo maana mnazidi kutuletea povu huku mkiiba hiki tunatoka na kile hii ni mtakuja.......au mnataka na jf iambatane na jina Kenya ndo maana mnajazana humu
 
Hahaa! [emoji1] Kijana wa chipsi, usiwe na presha kipendacho moyo ni dawa. Hebu type hilo neno nyama choma kwenye search engine yako uone kama halitaambatana na jina Kenya, Safari, Simba, Hakuna Matata. 😎
Nyama Choma na Kenya ni kama chanda na pete. Huyu achana naye ale hizo chipsi zake unhealthy.
 
Punguza wivu na uchungu, unamtukana mtu kisa anakula anachopenda kwani yeye ndio alifanya ninyi mfe njaa? Yeye ndio kafanya mchemshe mawe?
Hta we pia mla chipsi[emoji23][emoji23]
Yani utawajua tu watu wanaume wa chipsi, atafanya lolote ili kujitetea
 
Mangese ni nyie ndo maana mazungu yanawapenda maana wakiwaletea visenti wanateleza tu kama nyoka pangoni.........tena wewe utakua na basha huko mombasa anajisevia wowowo lako na mbwa wake
Mbna umekasirika na wakati tayari mwili umeshalegea na chipsi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…