komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hawa jamaa ndio manake wamelegea sana, km mangese vile walai[emoji1][emoji1][emoji1] Atakutusi bure mwanaume wa Dar, ukijaribu kumuambia kitu kuhusu chipsi. Usitake kumuona akiwa ame'chafua meza' na chipsi, juu zimenyunyiziwa kachumbari, mkononi kichokonoa meno, kando maji ya Kilimanjaro. Yaani hapo ni kama nyani na zile starehe zake za kukalia lami. Thiitiimaa! [emoji38]![]()