ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio imeshindikana Sasa kwani hiyo Bandari si imekuwa inasumbua sua kwa miaka zaidi 60 Sasa hakuna jipya?Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Kwanza Kuna sekta gani ambayo Tanzania inafanya Kwa ufanisi? Kuanzia sekta za biashara Hadi Huduma za jamii ni hovyo tuu..
Kote huko Kuna Wataalamu waliobobea ila hulka na tabia za Watzn ndio shida tupu.