Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?

Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,

Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Ndio imeshindikana Sasa kwani hiyo Bandari si imekuwa inasumbua sua kwa miaka zaidi 60 Sasa hakuna jipya?

Kwanza Kuna sekta gani ambayo Tanzania inafanya Kwa ufanisi? Kuanzia sekta za biashara Hadi Huduma za jamii ni hovyo tuu..

Kote huko Kuna Wataalamu waliobobea ila hulka na tabia za Watzn ndio shida tupu.
 
Kabla ya kutrain watanzania kusimamia bandari iundwe sheria kali ya maadili ya utumishi wa umma kama zile za china. Amini amini nakwambia shida sio technolgy shida ni uadilifu wa watumishi wetu kuanzia waziri wa wizara husika katibu mkuu hadi mlinzi gettini hapo bandarini
 
HAPA NDIMBO SERIKALI YETU ILIBIDI IHAKIKISHE KILA MTU ANAKUW MIADILIFU

KUNA KUW NA MIFUMO YA HAKI NA UWAJIBIKAJI , NA TEKNOLOJIA YA SASA N KUBWA INAWEZ PUNGUZA RUSHWA , WIZI NA KUTOWAJIBIKA KWA KIAS KIKUBWA

KAMA MTUMISH AKIPEW LENGO LA KUTIMIZ KILA SIKU.
Tatizo ni kuwa mwizi wa yeboyebo mnamchoma moto hadharani,

Maliasili wanahukumu wazee wenye asali Lita 20 na kuwanywesha mpaka wafe, wakikuta na nsha au nyama pori wanakulisha mbichi mpaka iishe

Ila majizi makubwa unasikia mkurugenzi kaiba hela za mradi wote badala yake kahamishwa

Siku mkiwafunga majizi hao na kuwaanika hadharani kwa wizi wao Yaani unapeleka mahakamani kila mwizi na kufungwa bila kikomo hapo watashika adabu

Hili ndio tatizo letu kubebana
Watoto shukeni wanapigwa kisa kafeli ila mwalimu anaiba lunchbox ya mtoto anakula vyote

Nina uchungu sana na nchi yangu ila sina la kufanya
 
Bado Taifa linahitaji
Ukomboz
Mapinduz
Mageuzi
Watu wapya

Kesi za walalahoji ndio hupelekeshwa.
 
Hivi kwanini hatutaki kukubali sababu zinazosababisha kukwama kwa kupata faida kubwa na uendeshaji wenye tija?
Mbona jawabu ni kutokuwa waaminifu
Tuwe waadilifu na tufanye kazi bila wizi, Haki tutafika mbali sana
Exactly, tatizo sie Watz, kutokana na experience uaminifu na tabia ya wizi Kwa wengi wetu ni kama chanda na pete, hivyo kusimamia mambo yetu ni shida....
 
Sisi ni wezi by nature na usipoiba ukiwa kitengo hata raia zinakushangaa. Utasikia jamaa anafanya kazi ana cheo bandarini ila hana hata gari la maana.
Hata wapigwe training bado tu wataiba.
Wawekezaji poa tu ila sasa iwe ni mikataba yenye kueleweka sio inamwagika mizigo hapa halafu tunashngilia mizigo inapita ila tunaambulia bure
Sahihi kabisa 100%
 
Waarabu wataongeza ufanisi wa Bandari kufikia full capacity.

SGR itashiba wenye Maloli watashiba hata hiyo TAZARA itashiba.
 
Mbona mnakwepa kuwataja waliotufikisha hapo? Adui mkubwa wa taifa letu mbona anajulikana? Hebu tuache unafiki!
Tukimtaja mara kwa mara inakuwa tunamfanyia promoshen !
 
Natamani hata sekta zingine zingebinafsishwa watanzania wizi wizi Sana natamani hata MSD angepewa mwekezaji tu ufanisi ungekuepo hivi hamuoni jinsi TBL ya wazungu inovoenda vzr hapa Tanzania ,, inabidi as a nation tuwe full capitalist nation
 
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?

Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,

Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Niambie baada ya miaka 60 ya Uhuru Mtanzania ameweza kitu gani? Hata baada ya wengi kusoma na kusomeshwa nje ya nchi ni kipi wamekiweza kinachoendana na uwekezaji huo?
Tena bandari ni kitu kidogo sana, mimi ningeshauri hata pale Ikulu na bungeni wangetafuta raia wa kugeni watuongoze.
Tena afadhali hata Ikulu tuna mtu ana Uzanzibar na u-Oman ndiyo angalau mambo yanaenda enda. Angekua Mtanzania pure tungekwama mazima huku tunashangilia na kuitana mawe.
 
Back
Top Bottom