Mlijuaje ni corona?Huku machimbo mbezi kuamkia jana kuna mtu tumempeleka hospital anacorona, alikuwa anapumua kwa shida kichwa kinamuuma yaani kama amepagawa.corona ipo mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.Makonda karopoka bila kujua ametoa siri, Corona ipo mitaani Dsm, ndio maana Rais akaenda kujificha kwenye mawe Dodoma, matokeo yake uropokaji wa Makonda unaleta tension kwa wakazi wa Dsm, wakati lengo la serikali lilikuwa watu wasijue kama Corona ipo mitaani Dsm.
Kutafuta sifa za kijinga kumemuaibisha na kuwaaibisha wote waliohusika kutoa taarifa za mtoto wa Mbowe, na Mbowe nae kamalizia kwa msumari mtoto wake hajatoka nje ya nchi mwaka mzima, kwahiyo kaipatia humu humu ndani, sasa kazi ipo kwa wakazi wa Dsm kujihakikishia usalama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe, mikutano ilitangazwa kabla ya tangazo la mgonjwa wa kwanza wa corona, hayo mahaba niue ya cc majambazi yatakuua kweliKwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.
Una Elimu ya kiwango gani? Maana umeandika upupu tupu!Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.
Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya.
Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi.
Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma.
Mara namsikia Makonda anatangaza kupuliza dawa mitaani.
Kwa sasa watanzania tuwe macho Corona iko mitaani Dar na itaenda mikoani soonView attachment 1398648
Na abaki hukohuko Makunguru hayatakiwi wakati wa majangA.Anasema hapa kazi tu!Halafu yeye kaenda kujificha Dodoma kukwepa Corona!
Na abaki hukohuko Makunguru hayatakiwi wakati wa majangA.Anasema hapa kazi tu!Halafu yeye kaenda kujificha Dodoma kukwepa Corona!
Nimemzidi Mbowe na Tundu LissuUna Elimu ya kiwango gani? Maana umeandika upupu tupu!
Nasajawahi kudesa kama Mnyika, Zitto, n.kUna Elimu ya kiwango gani? Maana umeandika upupu tupu!
Ona sasa unavyoandika, hivi hapo katika ofisi za CCM huwa mnalipwa shilingi ngapi kuposti ujinga?Nasajawahi kudesa kama Mnyika, Zitto, n.k
Eti kuuna tete kuwa mzee Mangula amepewa sumu na CCM wenzenu?Nimemzidi Mbowe na Tundu Lissu
Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.
Hakika ungeanzia Buguruni moto tungeshaanza kuuona
Hivi unanawa mikono halafu ndani ya gari mtu tayari ni muathirika na anapiga chafya za kutosha kunawa mikono kunasaidia nn jamani?Suala la Corona tunalifanyia mizaha mingi kwa sasa lakini siyo Jambo la kupuuzwa kwa kiwango hicho,tahadhari tunazozichukua bado haziridhishi,baadhi ya watu hawana uelewa wa kutosha,Jana kwenye stendi ya Mbezi mwisho nimeshuhudia baadhi ya watu wakikataa kunawa mikono kabla ya kupanda magari,Ni hatari.
Ugonjwa umeingia nchi ya wajuaji kila mtu kawa Doctor,hata ushauri wa ma Prof, hauzingatiwi.
Wanasiasa nao wamechukua nafasi ya ma Doctor.
Dodoma? Jana katia timu Chato kwa ndege....katuachia ushuzi nyuma kazi kwetu walala hoiAnasema hapa kazi tu!Halafu yeye kaenda kujificha Dodoma kukwepa Corona!