Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

Imethibitishwa shilingi Milioni moja na elfu hamsini imetumwa kwa Mama yangu Mzazi

Kuna siku mtu akijamba atakuja kusema mbona Leo ushuz unanuka sana ? Hivi kumpa mzazi wako hela ni jambo la kuanzishia uzi kweli ? Mbona mambo ya kawaida ambayo kila mtu anafanya kwa jinsi/namna anavyoona ? Jf imekuwa ya kipumbavu sana nowdays,,, ! Hii ulitakiwa upeleke Facebook ukapate likes na comment
I am inspiring people
 
Chief godlove bana msumbufu sana
 
Uongo uongo tu ulivyobahiri wewe umtumie mama yako M?
 
Kuna mada zinaanza kuboa Sasa, Kila mtu asomeshe anapoona sawa mnafanya ligi Kwa faida ya nani
Jamaa mshamba fulani na limbukeni.Anataka mtazamo wake ufuatwe hata kama batili.Ukifuatilia kiundani anaumia sana kisaikolojia coz huwezi kuanzisha nyuzi kulazimisha jambo fulani.
 
Uongo uongo tu ulivyobahiri wewe umtumie mama yako M?
Sio bahiri ni kwamba Mimi Sio fala sitoi hela kwenye mambo ya kifala fala

Am a generous person. Very generous person.

Am a Gemini.

Nilizaliwa tarehe 31 May ilikuwa siku ya Ijumaa.

That's why am down to earth. Nakuwaje bahiri.

Sasa nimezaliwa tarehe na siku kama hiyo naanzaje kuwa bahiri?

Si hata Mzee Wasirra atanishangaa.

Siku moja ntakutoa out you see for urself. You seems to be a Thomasic person.

" Money ain't a thing when u party with me"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom