I am inspiring peopleKuna siku mtu akijamba atakuja kusema mbona Leo ushuz unanuka sana ? Hivi kumpa mzazi wako hela ni jambo la kuanzishia uzi kweli ? Mbona mambo ya kawaida ambayo kila mtu anafanya kwa jinsi/namna anavyoona ? Jf imekuwa ya kipumbavu sana nowdays,,, ! Hii ulitakiwa upeleke Facebook ukapate likes na comment
Chief godlove bana msumbufu sanaKuna siku mtu akijamba atakuja kusema mbona Leo ushuz unanuka sana ? Hivi kumpa mzazi wako hela ni jambo la kuanzishia uzi kweli ? Mbona mambo ya kawaida ambayo kila mtu anafanya kwa jinsi/namna anavyoona ? Jf imekuwa ya kipumbavu sana nowdays,,, ! Hii ulitakiwa upeleke Facebook ukapate likes na comment
Futa number..Ili uone namba yangu
Jamaa mshamba fulani na limbukeni.Anataka mtazamo wake ufuatwe hata kama batili.Ukifuatilia kiundani anaumia sana kisaikolojia coz huwezi kuanzisha nyuzi kulazimisha jambo fulani.Kuna mada zinaanza kuboa Sasa, Kila mtu asomeshe anapoona sawa mnafanya ligi Kwa faida ya nani
Huna jeuri hiyo weweπ€£Buhahahahahaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sio bahiri ni kwamba Mimi Sio fala sitoi hela kwenye mambo ya kifala falaUongo uongo tu ulivyobahiri wewe umtumie mama yako M?
usihofu.lakini natumai unatoa sadaka kwaajili yakeMy father was called to meet with the Lord in 2015.