A taleLeft to tell...!
Huu muujiza ccm hawauoniMungu ni mwema sana. Na waliomwombea mabaya wameondoka kwa kasi ya ajabu kwenye uso wa dunia.
Alimchukiza kwa kipi?!!Huyu Mama asingekua Makamu kwa hiki alichofanya angetumbuliwa haha, alimchukiza sana Bwana Mkubwa
Nakushukuru Mwenyezi Mungu nilisali Tundu Lissu apone na kweli ikawa hivyo..... kipindi hicho nakumbuka magufuli alikuwa anaipelekesha nchi anavyotaka yeye na kulikuwa hakuna wa kumzuia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muujiza wa watakatifu huu CCM genge la wahuni hawawezi onaHuu muujiza ccm hawauoni
Maendeleo hayana chamaWakati wote Mungu ni mwema.
Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu.
Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na visiwani.
Yesu alisema " Wapendeni adui zenu watendeeni mema wanaowaudhi"
Amina!
Mungu ni mwema wakati wote!
DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...www.jamiiforums.com
Amina bwashee!Maendeleo hayana chama