Imetimia miaka 4 tangu Tundu Lissu apigwe risasi nyingi mnamo 07/09/2017. Mungu ni mwema wakati wote

Imetimia miaka 4 tangu Tundu Lissu apigwe risasi nyingi mnamo 07/09/2017. Mungu ni mwema wakati wote

Mungu fundi hakika siku Kama ya Leo miaka mitatu iliyopita kulikuwa na mpaka mwembamba mno Kati ya roho ya lisu na mauti. Mungu ni mkubwa waliopanga mauwaji haya leo hatujui majaliwa yao. Pengine wao ndio wametangulia na kumuacha lisu anadunda duniani.

Mungu sio bi Jamila wa kigogo.
 
Nakushukuru Mwenyezi Mungu nilisali Tundu Lissu apone na kweli ikawa hivyo..... kipindi hicho nakumbuka magufuli alikuwa anaipelekesha nchi anavyotaka yeye na kulikuwa hakuna wa kumzuia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mungu akamzuia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] God is Good All The Time
 
Wakati wote Mungu ni mwema.

Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu.

Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na visiwani.

Yesu alisema " Wapendeni adui zenu watendeeni mema wanaowaudhi"

Amina!

Mungu ni mwema wakati wote!

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom