Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Bora maamuz hayo kuliko ya kuuana...nakupongeza Sana..kwa Hilo ukiona mwanamke hamuendani kwa Kila unachomwambia anakaidi...piga chini..endelea na maisha..hao viumbe hawajawahi kueleweka wanahitaji nini katika maisha..
 
Mkuu wanawake wa siku hizi ni vichomi kuliko unavoweza kudhani. Huyu mwanamke kama ukingangania kukaa naye atakuja kukurudisha nyuma sana kimaendeleo. Wanawake wengine ni wazuri kuwa wapenzi au michepuko tu lakini hawafai kuolewa katu. Na sio kila mwanmke lazima aolewe.....wengine wabaki kuwa madanga tu!
 
Wanawake Ogopeni sana kuolewa na mtu aliyezoea kujipikia na kujifulia nguo,huwa ni wakoloni zaidi ya mjerumani,ni bora mwanamme anayekula migahawani ila sio anayejipikia.

Wewe kwa nature yako ni mkoloni ,huna roho ya kuchukulia madhaifu ya mwenza wako kuwa ya kawaida na mwisho wa siku uvumilivu ni muhimu.

Punguza utata kijana
 
Mimi hapo kwenye kufunua mdomo na kujielezaaaa mpaka kujimaliza.
Kwa kweli HAKUNA kitu sikipendi Kama kutokuwa na Siri.yaani umepanga kufanya hili kesho liko nje.Sijui umetoa mahari laki mbili kabla hujafika nyumbani,majirani wameshajua.
ASILIMIA 100 YA WATU WASIO KUWA NA SIRI HAWAFANIKIWI.
 
Mkuu mwanamke ambaye hajaoelewa bado (ambaye yupo kwenye uchumba) ni tofauti sana na mwanamke huyohuyo baada ya kuolewa....tena tofauti zao ni kama ardhi na mbingu. Get the point?
 
Hahaaaaaaaaaaa
Eti chuma hayo majani yanatubu UTI hahaaaaaaaa ....
Mkuu haukufanya skauting ya kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…