Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Hakuna maisha mazuri na matamu kama kuoa mke mwema au kutokuoa kabisa.Hey bro,pole sana maana matarajio yako yamekwenda ndivyo sivyo but kuishi na mtu inahitaji moyo sanaa..it takes days,weeks,months or even years kwa nyinyi wawili kuwa kitu kimoja.Mahusiano sio marahisi kama watu wanavyochukulia mahusiano yanahitaji moyo tena moyo mgumu.Maana kila mtu ametokea na kukulia mazingira tofauti .Hii tabia ya kuzoeana na kila mtu kweli sio nzuri maana sio watu wote ni wema but pia kuna muda kwenye maisha hupaswi kuwa peke yako peke yako hata ikiwa unahofu maana najua unaogopa mambo yasije yakenda ndivyo sivyo ila ndio maisha na tunaishi nao pia..Mfungulie hata biashara au mpeleke akajifunze chochote ili na yeye awe busy maana kukaa nyumbani pia kunaleta mazoea na upweke pia.Maneno ya kutupiana tupiana kwa wapenzi ni kawaida ila kama umeona mwenzio kakujibu jibu ambalo hujapendezwa nalo kabla ya kuelezea watu kwa nini usimwambie ili ajue amekukosea ili ajirekebishe kuliko kuumia…Kuishi peke yako ndio kuna uhuru ila pia kuishi na mtu kuna faraja yake.
Kama unabisha subiri Adam umuulize namna Hawa/Eva alivyomtenda.
Kamuulize pia tajiri namba moja Duniani Elon Musk kwanini hana mke. Ukimkosa muulize makamu wake kwa utajiri duniani yaani anaemfuatia kwa utajiri au tajiri namba mbili Jeff Besoz kwanini hana mke.
Ukikosea mke kuoa mke ndugu hesabu umeingia Jehanam mapema. Wanawake wengi ni lango la shetani au kuingiza maovu duniani. Ubishe au usibishe ndio ukweli wenyewe.
Chukua hii siri toka kwa Yesu/Mungu. ISHINI NA HAWA WANAWAKE KWA AKILI SANA, KAMA NYOKA.
chukua ni hii ya mtume Paulo. KAMA UKIWEZA ISHINI KAMA MIMI. Yaani bila kuoa.
Uchaguzi ni wa kila mtu hasa katika kizazi hiki cha nyoka