😂😂😂😂
Nisamehe ndugu yangu nimecheka, ila hapo pa majani ya yutiai pamenifurahisha sana..!!
Me huwa napenda nakaa mahala kama jini, hakuna anayejua kukuhusu, jina lako analifahamu mwenye nyumba tu kuliona kwenye mkataba,
Ni salamu, kila mtu ale kona, ukifika kazini ni story za kuhusu kazi hakuna ushosti hata wa kujua naishi wapi, nadhani hakuna maisha mazuri kama yenye privacy, sijui kwanini watanzania wengi hatuwezi hili..!!
Tushaonekana tunaringa mpaka basii, kumbe ni standards tu mtu umejiwekea..!!