Mkuu, miaka ya nyuma mzee mwenye nyumba alikuja kuangalia Mpira usiku saa 1:30 Mimi Nina Dstv yeye yuko na Azam kosa alilofanya alikuja na kijana mwingine wa mtaani Hapo (Mimi simjui) nikamtimua mzee nikamwambia usiku Huu nahitaji kupumzika alafu siwezi ruhusu wageni kwangu usiku nisiowajua, hakuamini ndivyo ilivyo maana hata muda wakiwa wananisema sipo, Sina namba ya mzee mwenye nyumba Wala mtu yoyote , mtu ndani ya Mwezi ana namba za Mama mwenye nyumba, watoto wake Majirani hapa nawaza sijui nifanyaje.