Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mpwa ya kweli haya?
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈMmmhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa ya kweli haya?
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈMmmhhh
Kama kukaa Nyumbani kwako imekuwa shida basi ukimpa shughuri ya kumuweka busy ndio hesabu mnaachana rasmi, Niko hapa utakuja kunipa ushuhuda.Asante sana, binafsi sipendi aondoke Sema ni stress za hapa na pale maana ni jambo jipya hata akili Inapambana pi ku-cope, nimeona nichukue huo ushauri wako wa kumtafutia shughuli ya kufanya, nitampa hiyo kazi Mwenyewe ya kufanya research kwa mazingira tuliyopo anadhani atafanya biashara gani? Itanisaidia pia kujua vingi kwake.
Shukrani.Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakua mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.
Soma tena ulichoandika alafu kayafanyie kazi kwa huyo mwanamke wako.
Mwezi mmoja ni mapema sana kufanya maamuzi magumu.
Nilijua tu unatuokota.ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 2600815
Sawa basi mfukuzie mbaliHata mali zenyewe Sina tofauti na mashamba ambayo hayajui yalipo.
Maake hapo kwanza ncheke! πππKwa hiyo wanawake tu Ndio wana shida nyie nyiee wanaume humu
πππMaake hapo kwanza ncheke! πππ
Hapo mbona hamna hata stress ya ndoa ni muda wa kusomana na kurekebishana tu mpe muda atakaa sawa. Shida wanaume wa sasa mmekuwa wachoyo mnoooo hapo unaona kama anakurudisha nyuma kimaendeleoSI Bora ningebaki bachelor kuliko hizo stress ninazopata
Ooh no usifikie kumuombea hivyo mkuuπͺMwanangu unapitia challenges kama zangu yani...uyu kiumbe ashanishinda tabia nataman ata agongwe na gar apite iv mana kuondoka hatak kabsaa
Pole sana mkuuDah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.
Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.
Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.
Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.
Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.
Swala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.
Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Ukweli mwanamke ukiwa unaongea hovyo ni tatizo nadhani wanaume wengi hawapendi kelele na mtu anayongeaongea sana kama upo kwenye mahusiano na mtu wa aina hii ni changamoto.Nikitoka job namkuta yupo na Majirani huko nje, story zake tukiwa tunaongea. Pia weekend huwa nashinda ndani asubuhi mpaka jioni akitoka nje akiwa anafanya shughuli zake, utamsikia Mimi Dodoma hivi na vile....eeeh Nina ndugu yangu pale....nimekaa sana pale.....nimesoma Hapo.....hata Mama yangu alishaugua huo ugonjwa.....chuma hayo majani yanatibu UTI. Nadhani umenielewa kaka, Sasa hiyo situation ya kuongea ongea sana sijisikii vizuri kabisa.
Eh bwana kurubambe la mtaa![emoji38]Umeshamchelewa amekuwa kurubambe la mtaa
π π π umeoa anayekuzidi akili.Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
Kwani ni kweli menyu ikitengwa wewe hukaa hadi uone maandishi kama movie?Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.
Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.
Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.
Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.
Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.
Swala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.
Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Hii ndio mioyo inayotakiwa kwa mwanaume wa kweli.. haiwezekani kunguru anyee manati[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi niliamka kwenda kwenye mazoezi asubuhi kurudi nikakuta mtu keshamaliza kupaki na mabegi tayari tayari. Nauliza kulikoni mwenzangu mbona ghafla au kuna msiba home? Kimyaaa!
Wala sikuuliza ila niliita bajaji chap ili imuwahishe Mbezi kwa Magufuli. Wiki ya tatu sasa hata sijui kama alifika salama ama la! [emoji706][emoji706][emoji706]