Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Hayo ni mambo ya kawaida mkuu.

Binafsi ni mkimya mpaka nimzoee mtu sana so hiyo part ya kusocialize nimemuachia huyu mama hapa.

Kusocialize ni muhimu sana katika jamii hizi zetu za kiafrika else utakosana na hao wananchi bila sababu.

Hata kama hupendi kuwa na watu lazimisha tu kucheka nao na kupiga stori mbili tatu mradi ukae nao kwa amani.

Mimi Huwa kwenye sikukuu nachinja nagawa nyama kwa majirani we are in good terms.

Na huyu mama namuachia hicho kitengo cha kuwa karibu na jamii napiga mishe nyingine.
Kumbe huyo Kwa avatar yako sio wewe mkuu? Maana nikiangalia hio yako apo sipat kabisa connection ya ukimya
 
Mwanamkee muongeaji,mcheshii anaezoeana na watu kwa haraka kuliwa nikawaida sanaa piaga chini utakuja kunishukuruu tena kama ndio mnamwenzi sikufichii hapo mtaani kashaliwa sema wewe hujuii unachorwa tuu naukimfungulia ofisi ndiounakua umemfungulia gest ndogo ya chap chap usirudi nyuma piga chinii utakuja kunishukuruu
 
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.

Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.

Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.

Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.

Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.

Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?

Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.

Swala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.

Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Kuna tatizo hapa. Maamuzi ni yako, siyo yetu.
 
Nikitoka job namkuta yupo na Majirani huko nje, story zake tukiwa tunaongea. Pia weekend huwa nashinda ndani asubuhi mpaka jioni akitoka nje akiwa anafanya shughuli zake, utamsikia Mimi Dodoma hivi na vile....eeeh Nina ndugu yangu pale....nimekaa sana pale.....nimesoma Hapo.....hata Mama yangu alishaugua huo ugonjwa.....chuma hayo majani yanatibu UTI. Nadhani umenielewa kaka, Sasa hiyo situation ya kuongea ongea sana sijisikii vizuri kabisa.
Si bora wewe,mimi nilikaa miaka 6,naishi peke yangu kwenye kibanda changu yombo temeke.
Jinsia ya kike waliokuwa wamewahi ingia ndani kwangu ni mama na dada zangu tu,tena mara chache sana.Mitaa hiyo kuna uswahili wa kufa mtu na wengi ni jobless.
Mimi natoka saa 12 asubuhi,kurudi 12 jioni,salam kwa majirani,basi imeisha,hata jina langu hawalijui.
Siku nilipooa,nimekaa mwezi mmoja,niliwahi kurudi home,c unajua mke mpya,nashangaa makelele ndani ya nyumba,nilistuka sana.Kumbe kilikuwa kikao cha kichagua sare na fundi cherehani alikuwepo,kidogo nizimie kwa mshangao,,,,ingawa waliniona dirishani wakakimbia kupitia mlango wa nyuma.
Niliuza nyumba nikajenga nje ya mji.
 
Huna adabu.
Eti ukinunua nyama, nyama kitu gani. Mpe mkeo hela ya mwezi mzima yeye ndio aamue mle nyama au tembele.
Acha uchoyo dogo. Wewe ndio mchoyo mpaka unaingilia Mambo ya jikoni.
Jikoni Ni sehemu ya kina mama kujidai. Usiingilie Mambo ya huko kabisa.
mke wangu ukimpa he ya siku 30,baada ya wiki 2 anakwambia imeisha,mara kamsaidia mtu,sadaka kanisani,mara kanunua sahani za udongo,,,ni shida..
 
Mke Ana miaka 24 ,afu umekaa nae kwenye mahusiano hapo kabla kwa miaka 5 ,inamaana mlianza kuchumbiana akiwa na miaka 19 🤔?

Au ni ndio sijaelewa mkuu
Cha ajabu kipi hapo? Rais Samia Hassan aliolewa na miaka 18. Usiingizwe kingi na mabeberu huo ndio umri mzuri sana wa binti kuolewa kwa watu wenye malengo hayo (miaka 18 ~ 22) nje ya hapo utakuwa umelamba galasa.
 
Back
Top Bottom