Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana Acha papara, kaa kwa kutulia, mtimue tuu kama amekucheat, hivyo vitu vingine vya kawaida Kwa wanawake, halafu usiwachukulie serious sana hawa viumbe hawana reasoning capacity kama ya mwanaume. Yaani ukimchukulia mwanamke kama unavyojichukulia wewe basi dk sifur utampiga rungu la kichwa...
Miaka 19 mkubwa kabisa huyo
Usiseme zaidi mkuuDah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.
Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.
Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.
Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.
Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.
Suala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.
Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Shindwa na ulegee! 19 bado mdogoMiaka 19 mkubwa kabisa huyo
Daah Mkuu unasubiri mpaka ukutane na kidali kimejikunja ghetto [emoji51]Ninavyokwambia, Nina mwaka wa 5 Sina namba za mwenye nyumba ndio nyumba yangu ya kwanza tokea nilipoajiriwa Huku Lakini yeye mwezi tu ana namba za watu wote hapa na watoto wa mwenye nyumba, yani ni shughuli ni nzito kichwani Mwangu.
Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?
Umefanya papara kumfukuza,hizo ndio tabia zao,sasa wewe hukufanya research kuwajua kwa undani,ukakurupukia kumuweka ndani,sisi mbona tunaishi nao tena kwa raha na amani,ukishamjua hakupi shida,ulitakiwa kutumia akili sio hisia...Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.
Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.
Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.
Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.
Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.
Suala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.
Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Anafikiri kuishi na Mwanamke ni Wali Maharage mkuu,unaambiwa ukitaka kujipima kama una akili uoa.Umefanya papara kumfukuza,hizo ndio tabia zao,sasa wewe hukufanya research kuwajua kwa undani,ukakurupukia kumuweka ndani,sisi mbona tunaishi nao tena kwa raha na amani,ukishamjua hakupi shida,ulitakiwa kutumia akili sio hisia...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mwenyewe soon namfukuza mtu...
Ipo Siku ukilala njaa ataenda kusimulia nje 😁😁Ana miaka 24 Sasa, nadhani ni umri ambao kwa wanamke anakua na uwezo wa kureason, mbona wazazi wetu waliolewa na miaka 16 -20 na walidumu.
Itakuwa tuna'share group moja la Watsap Mdogo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe ndugu yangu nimecheka, ila hapo pa majani ya yutiai pamenifurahisha sana..!!
Me huwa napenda nakaa mahala kama jini, hakuna anayejua kukuhusu, jina lako analifahamu mwenye nyumba tu kuliona kwenye mkataba,
Ni salamu, kila mtu ale kona, ukifika kazini ni story za kuhusu kazi hakuna ushosti hata wa kujua naishi wapi, nadhani hakuna maisha mazuri kama yenye privacy, sijui kwanini watanzania wengi hatuwezi hili..!!
Tushaonekana tunaringa mpaka basii, kumbe ni standards tu mtu umejiwekea..!!