Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Doctor hii itakuwa ni chai bila Shaka.

Ngoja nimwitempwa wako Aaliyyah aje aone hii.

Mpwa ya kweli haya?

πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

images (1).jpeg
 
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakua mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.

Soma tena ulichoandika alafu kayafanyie kazi kwa huyo mwanamke wako.

Mwezi mmoja ni mapema sana kufanya maamuzi magumu.
 
Asante sana, binafsi sipendi aondoke Sema ni stress za hapa na pale maana ni jambo jipya hata akili Inapambana pi ku-cope, nimeona nichukue huo ushauri wako wa kumtafutia shughuli ya kufanya, nitampa hiyo kazi Mwenyewe ya kufanya research kwa mazingira tuliyopo anadhani atafanya biashara gani? Itanisaidia pia kujua vingi kwake.
Kama kukaa Nyumbani kwako imekuwa shida basi ukimpa shughuri ya kumuweka busy ndio hesabu mnaachana rasmi, Niko hapa utakuja kunipa ushuhuda.
 
Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakua mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.

Soma tena ulichoandika alafu kayafanyie kazi kwa huyo mwanamke wako.

Mwezi mmoja ni mapema sana kufanya maamuzi magumu.
Shukrani.
 
Dogo umri bado pia naona ni aina ya mtu flani wa kujiweka maisha flani ambayo kiuhalisia huna
Au title ambazo huna
So kuna kuna utambulisho unamjengea kiakili yeye na majirani zako wasikuelewe ila wakuone kama mtu flani wa miwani black

Nadhani ni utoto kama sio utoto basi ujinga haujakutoka
Na inawezekana umekulia maisha ya kotas za vyombo vya ulinzi na usalama
 
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.

Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.

Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.

Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.

Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.

Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?

Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.

Swala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.

Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Pole sana mkuu
 
Nikitoka job namkuta yupo na Majirani huko nje, story zake tukiwa tunaongea. Pia weekend huwa nashinda ndani asubuhi mpaka jioni akitoka nje akiwa anafanya shughuli zake, utamsikia Mimi Dodoma hivi na vile....eeeh Nina ndugu yangu pale....nimekaa sana pale.....nimesoma Hapo.....hata Mama yangu alishaugua huo ugonjwa.....chuma hayo majani yanatibu UTI. Nadhani umenielewa kaka, Sasa hiyo situation ya kuongea ongea sana sijisikii vizuri kabisa.
Ukweli mwanamke ukiwa unaongea hovyo ni tatizo nadhani wanaume wengi hawapendi kelele na mtu anayongeaongea sana kama upo kwenye mahusiano na mtu wa aina hii ni changamoto.
 
Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…umeoa anayekuzidi akili.
 
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata najibana nikajikita kununua mashamba, kiufupi maisha yalikuwa mazuri though nilikuwa na mchumba mmoja wa muda mrefu kidogo, nikasema nivute niiweke sawa nikatoe mahali baadae kidogo.

Ni mwezi mmoja tu lakini stress nilizonazo ni kama nimekaa Miaka 70 kwenye ndoa, ogopa Mwanamke mjuaji, kiburi Cha chini chini asiefata maelekezo, kichwa changu kinawaka moto vibaya mno. Sina furaha tena nimemtimua aondoke amegoma naona hapa mimi ndio nitimke kimya kimya, nimuachie vitu nisepe.

Ninapokaa hapa nina miaka 5 sina mazoea na watu kabisa, sipendi kuzoeana na siruhusu mtu anizoee zaidi ya salamu (haswa Majirani) wananiona mkorofi sana kwa sababu ya kutopenda mazoea. Alipofika hapa nilimwambia principle yangu huwa sipendi mazoea na watu zaidi ya salamu na vitu vingine vidogo vya ku-socialize Lakini mazoea lazima yawe na mipaka. Ooh ndani ya mwezi ameshajuana na watu mbalimbali, majirani woote wanamfahamu.

Ndani ya Mwezi mmoja tu majirani wote wanajua identity yake tokea alipozaliwa na mikoa aliyoishi Hapo kabla, kiukweli Sielewi but moyo wangu una hasira sana. Kiukweli sipendi kufungua password ya maisha yangu kabisa tena kwa stranger Lakini huyu yeye akitekenywa tu anafunguka vibaya mno japo tokea amekuja nimeshamwambia zaidi ya mara 1000 never trust anybody. Kila unaemuona mbele yako muone kama threat kwenye maisha yako, Lakini haelewi.

Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu.

Mmewezaje kukaa na Mwanamke mjuaji? Unalomwambia hafanyi? Wala maelekezo hafati?

Nimeona kwamba katika Maisha watu tupo na character tofauti tofauti, tumezaliwa katika mazingira tofauti tunapokutana ukubwani kimbembe Cha kubadilishana tabia ndio kinaanza unakuwa mwana saikolojia, sosholojia na filosofia bila kupenda.

Swala jingine namuona kabisa ana chembe chembe za ubinafsi na uchoyo, niliwaza nifungue biashara yeye awe msimamizi lakini nimerudi nyuma na kuhairisha kabisa, unajua uaminifu wa vitu vikubwa huanza na vitu vidogo, kuna siku tulikuwa tunataniana nae akasema "ndio maana chakula kikitetengwa unakaaga mpaka Mwisho" ilo jambo lilinifikirisha sana.

Navyoona huko mbeleni kama naenda kupiga mtu vibaya mno.
Kwani ni kweli menyu ikitengwa wewe hukaa hadi uone maandishi kama movie?

kwa Hilo jina huyo bidada yupo sahihi kwa Kila analokufanyia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mi niliamka kwenda kwenye mazoezi asubuhi kurudi nikakuta mtu keshamaliza kupaki na mabegi tayari tayari. Nauliza kulikoni mwenzangu mbona ghafla au kuna msiba home? Kimyaaa!

Wala sikuuliza ila niliita bajaji chap ili imuwahishe Mbezi kwa Magufuli. Wiki ya tatu sasa hata sijui kama alifika salama ama la! [emoji706][emoji706][emoji706]
Hii ndio mioyo inayotakiwa kwa mwanaume wa kweli.. haiwezekani kunguru anyee manati
 
Kaa naye Kwa kutulia umuelekeze zaid ikishindikana mpeleke polis akae ndani ata week baada ya week kamuwekee dhaman Kwa makubaliano kwamba asipojirekebisha utaruka dhamana arudishwe ndani akanyongwe au kifungo cha maisha au vyote Kwa pamoja ,ila option ya kuachana haipogo pambania kombe hilo mkulungwa
 
Back
Top Bottom