Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Kijana Acha papara, kaa kwa kutulia, mtimue tuu kama amekucheat, hivyo vitu vingine vya kawaida Kwa wanawake, halafu usiwachukulie serious sana hawa viumbe hawana reasoning capacity kama ya mwanaume. Yaani ukimchukulia mwanamke kama unavyojichukulia wewe basi dk sifur utampiga rungu la kichwa...
 
Mademu wanavyopenda tamthilia na internet yeye muda huo anautowa wapi? Au huna TV na hulipii subscription? Umemnunulia smartphone? Unamuwekea bando?

Siamini mwanamke mwenye access hizi kama ana muda wa gossiping za waswahili.
Vyote nimefanya nilikua na DSTV kasema anapenda sinema za Azam nimeweka Lakini Sasa kiburi, anaumwa anachagua dawa za gharama kwamba zinatibu but dozi hafati mpaka umsimamie, ukimwambia ananunaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]


Mpende hivyo hivyo
 
Mwanamke wa kuoa siku zote wenzako huangalia uzuri wa tabia. Ila wewe uliangalia sura, au umbo. Na haya sasa ndiyo madhara yake.

Unatakiwa kufanya yafuatayo:-

Kaa naye chini, kwa mara ya mwisho. Asipokuelewa, mpeleke kwa wazqzi wake.
 
😂😂😂😂
Nisamehe ndugu yangu nimecheka, ila hapo pa majani ya yutiai pamenifurahisha sana..!!

Me huwa napenda nakaa mahala kama jini, hakuna anayejua kukuhusu, jina lako analifahamu mwenye nyumba tu kuliona kwenye mkataba,

Ni salamu, kila mtu ale kona, ukifika kazini ni story za kuhusu kazi hakuna ushosti hata wa kujua naishi wapi, nadhani hakuna maisha mazuri kama yenye privacy, sijui kwanini watanzania wengi hatuwezi hili..!!

Tushaonekana tunaringa mpaka basii, kumbe ni standards tu mtu umejiwekea..!!
 
Tatizo lako unataka uonyeshe wewe ni mwanaume bora..

We endelea naambo yako, rudi usiku hadi akutafute, ondoa asibuhi na mapema bila hata ratiba, usiwe mtu wa kueleweka.. acha nafasi ya yeye kukuwaza na kujihoji pengine hakuridhishi..

Kuoa haina maana sasa mtaishi maisha mapya, qe endelea na maisha yako ya zamani.. jambo moja tuu, usiwe na wanawake wengi.

Nakwamba ukifanya haja, atakuheshimu.. ila kama upo kwenye ndoa na bado unamkimbiza .. utafeli
 
😅😅kazi ipo huenda nae anajibrand kwa njia hio enewei tell her stor anazosambaza ziwe zake peke ake halafu huyo anapenda sana kuongea so n bora uwe wampa nafas ya kuzungumza hovyo hovyo m mwenzio dame wangu n kama huyu huyu tuh sasa m wangu anajielezea kwa wanaume wanaomtongoza yan anahuruma jamn ad so poa😅😅vitu vya kumuacha mwanamke ni
USALITI -wa aina yoyote ile
KUFUJA MALI
DHARAU-kwako
hz mambo hata nioe mtoto wa daktar ambae anamtibu mtu wangu wa muhim au hata awe mtoto wa malkia na hata awe amenilisha libwata namwacha😅😅huyo wako hapo hayupo mvumlia mzee ila mtibu tuh mwambie mbna ukiwa unaongea na majiran una sauti mbaya hvo ka mbibi😅😅✌️
 
Mwanangu unapitia challenges kama zangu yani...uyu kiumbe ashanishinda tabia nataman ata agongwe na gar apite iv mana kuondoka hatak kabsaa
 
Mwanamke wa namna hii sio wa kumvumilia, hakikisha ameondoka kabla hajakuletea aibu katika jamii, au wewe kuishia jengo la serikali.. epuka kuzaa nae utapata watoto wa hovyo
 
Ninavyokwambia, Nina mwaka wa 5 Sina namba za mwenye nyumba ndio nyumba yangu ya kwanza tokea nilipoajiriwa Huku Lakini yeye mwezi tu ana namba za watu wote hapa na watoto wa mwenye nyumba, yani ni shughuli ni nzito kichwani Mwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…