Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Umewaza kama nlivokua nawaza uraisi mfumo na mfumo ndo ulimkata lowasa first....Lowasa ni kkkt na mfumo unamtaka Rc mpk hapo JK angefanya nn kwa mfano na je jk pekee ndo alikua na maamuz dhid ya kina mzeee mkapa??
 
Wewe ndio unaanzisha Uzi makusudi Ili mzee Kikwete ashambuliwe

Unachofanya ni Unafiq Uliotukuka 🐼
 
Wewe mtetee tu, lakini kaa ukijua msingi wa matatizo ya afya ya Lowassa unaelezwa kuchangiwa na fitna za mzee wa Msoga.

Yule ni kigagula wa kikwere.
Kwahiyo alimroga?

Au kuukosa Urais ndio kulimpa maradhi?, kwahiyo ilikuwa lazima awe Rais?

Maradhi kama yalisababishwa na kuukosa Urais duh hii itakuwa kali ya mwaka.
Kama alipigwa kitu, basi jua ilikuwa akuanzaye mmalizaye maana hiyo ndio style ya Mkwere yule.
 
Mkuu, kutokana na hii mada yako, hivi ni kwamba unalalamika, unashauri, unashutumu, unahitimisha, ama unaweka msisitizo? Ni haki ya kikatiba ya watu kutoa maoni yao, haijalishi kama yanakufurahisha ama la.
 
Tulitaka JK ama aombe radhi kwa ubaya wote aliomtendea marehemu au akae kimya, kuliko kujivika unafiki wa kishirikina kutoka huko msoga ndani ndani.
Aombe radhi kwa lipi? Hii nchi ina wapumbavu wengi sana.

Kwani Lowasa alishawahi kukulalamikia hadharani kwamba anafanyiwa ubaya na JK?

Tatizo lenu mnapenda sana kujitungia stori na kupenda uzushi usiokuwa na mashiko.

Weka ushahidi hapa kwamba JK na EL walikuwa na ugomvi.
 
Akiwa hai hakukwenda kumjulia hali....
Akiwa hai hakumsifia kwa mema....
Alipokufa akakimbilia kumzika...
Alipokufa akakimbilia kumsifia...

JK kama sio mchawi atakuwa nani?
Ni kiongozi gani aliwahi kusifiwa akiwa hai? Wapo waliokuwa wanamchukia Magufuli lakini alipofariki walimsifia.

JK hana tofauti na binadamu mwingine yeyote kwahiyo kama ilivyo desturi yetu mtu husifiwa akiwa ametangulia mbele ya haki.

Hata JK angetangulia bado EL angeenda msibani na kumsifia sasa unashangaa nini hapo?
 
Ukweli unaujua Ila umetanguliza tumbo lakombele kuliko utaifa.

Kwani umeahidiwa Nini Hadi unajichafua kiasihichi?
Lowasa aliwahi kutoka hadharani kulalamika kwamba JK ndiye alimsaliti?

Au ni mawazo yako tu yanakupeleka na kukuendesha? Maana hakuna mahali Lowasa alimtaja JK kwa kumsababishia baya lolote.
 
Mkuu watu wengi humu wanaendeshwa na mihemko wala sio facts. Eti JK alaumiwe kwa EL kukosa urais?

JK hana mamlaka ya kuamua nani awe Rais ndiyo maana kuna vyombo mbalimbali vinafanya vetting ya nani anafaa hivyo lawama kwa JK ni za kupuuzwa tu.

Halafu unakuta lijitu limeenda hadi chuo halafu linaishi kwa uzushi wa vijiweni kwamba EL alikosa urais kisa JK alimsaliti.

Upumbav ni janga halisi kwa watu wengi.
 
Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
Una uhakika wanaccm wote walitaka Edo awe Rais? Na uhakika gani unao kwamba watanzania waliamua Edo awe Rais wao?

Huwa mnafanyia wapi tafiti zenu? Acheni kujidanganya kwenye vijiwe vya kahawa mnaokoteza vijistori basi unakimbilia Jf.

JK hana mamlaka ya kuwachagulia watanzania nani awe Rais bali mchakato unaanzia ndani ya chama kisha wanaachiwa watanzania waamue.

Kama watanzania waliamua Edo awe Rais mbona alivyoenda upande wa pili hakufanikiwa kuwa Rais?
 
Kiukweli mwandishi anazo hoja. chadema walitufundisha ufisadi wa Lowasa ,tukauelewa mara ghafla kawa mgombea wao.

CHADEMA hili jambo limewatia kigugumizi sana .

Sasa chadema ni rafiki wa Lowasa kuliko ccm
 
So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .

Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?

Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine
Akili yako haiko sawa, na hauna ubinadamu.
 
So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .

Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?

Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine

Sasa JK mwenyewe juzi kasema walikuwa marafiki wakubwa alafu wewe unasema hawakuwahi kuwa marafiki. Bado unataka tukuchukulie Serious kwa ulichoandika.

Ni Wajínga pekee watakaochukulia maoni yako kwa uthabiti. Hii ni kama futuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…