Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,559
Reaction score
3,586
Tundu Antipasy Mughway Lisuu​

1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako

2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo, upendeleo fulani wa kisiasa kwake yeye binafsi na chama chake ili akubaliane na mambo yetu ya kijinga na kipuuzi ya kuendelea kuichafua na kuiharibu nchi hii. Amewakatalia na kuwaambia fika kuwa, yeye anataka HAKI TU.

3. Msimamo wake huo umewaudhi, unawakera na kuwatia ghadhabu. Mahakamani tayari ameshawashinda, hili kila mtu anajua. Kwa sbb ya ego na kiburi chenu mnaona haya na aibu kukubali kushindwa na kumwachia aende zake. Mnaogopa kwa sbb akitoka tu atamwaga siri zenu zote. Si friji lake haligandishi bhana? Yes, haligandishi, na hii ni kawaida ya mtu yeyote wa haki. Hafichi uovu uvunguni bali huuweka wazi..

4. Sasa hiki ndicho kinachowakabili mbele yenu juu ya huyu bwana. Ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukienda mbele nchale na ukirudi nyuma nchale. It's a total confusion Mnatamani mummalize kwa njia yoyote ile. Hilo haliwezekani. Huku nje nako kumewaka moto. GenZ hawapoi.!!

5. Mtafanya nini sasa ili kujiokoa nyie wenyewe na nafsi zenu na kuikoa nchi na taifa? Jibu ni rahisi tu: Kubalini kushindwa. Wekeni kiburi pembeni, kirini makosa yenu. imezeni aibu yenu, swallow your ego. Mwachieni Tundu Lissu aje kutuliza nchi hii. Nyie hamuwezi kwa kuwa mnadhani suluhu ya mambo haya ni nguvu ya bunduki

6. Kubalini tu kuwa, as it is for now, hakuna mtu mwingine anayeweza kusema neno na wananchi hususani vijana wa GenZ wakamwamini, kumwelewa na kutulia katika nchi hii isipokuwa Tundu Lissu na Askofu Josephat Gwajima pekee. THIS IS UNDISPUTED TRUTH...!! Samia Suluhu Hassan au Mwigulu Nchemba au Dr Emmanuel Nchimbi hawana political moral authority hii, hawaamuniki kwa sbb ni waongo na wezi watupu!

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA​

1. Huyu ndugu, kimwili ni mwenzetu, ni mwanadamu kama sisi. Lakini ni mjumbe maalumu toka ufalme mwingine Mkuu zaidi kuliko falme zote duniani, ufalme wa mbinguni au ufalme wa Mungu.

2. Alishasema na kuwaonya mapema kuwa, mkipuuza ushauri wake, basi CCM ijiandae kulia kilio kikuu cha kukipeleka kwenye mauti yake. Kimeshawafikia tayari. Alisema, kupona kwenu CCM, ni mpaka mtakapomtafuta wenyewe Ili aseme neno jingine tena

3. Huyu Gwajima na Lissu ndio wajumbe wa Mungu Yehova watakaoiponya Tanganyika. Mmeanza na kufungua makanisa yake mliyotafunga kibabe tu, bila sbb yoyote ya kisheria. Hili halitoshi..

4. Kama ndivyo hivyo, basi nendeni hatua inayofuata. Kubalini kuwa mlikosea. Swallow your egos, ondoe kiburi chenu. Tangazeni waziwazi kuuchukua ushauri wake though uchaguzi umekwisha kufanyika hivyo hivyo kimagumashi gumashi tu. Lakini ghadhabu ya Mungu bado ipo inawaka. HAKUNA wa kutuliza isipokuwa mjumbe wa Mungu pekee. Si mwingine bali ni Askofu Josephat Gwajima..!

5. Huyu akitoka na kuhubiria vijana, nchi itatulia, TRUST ME.

The question is p: Are they ready bow down and swallow their ego...,?
 
Tundu Antipasy Mughway Lisuu​

1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini wa Tundu Lissu". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako

2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo, upendeleo fulani wa kisiasa kwake yeye binafsi na chama chake ili akubaliane na mambo yetu ya kijinga na kipuuzi ya kuendelea kuichafua na kuiharibu nchi hii. Amewakatalia na kuwaambia fika kuwa, yeye anataka HAKI TU.

3. Msimamo wake huo umewaudhi, unawakera na kuwatia ghadhabu. Mahakamani tayari ameshawashinda, hili kila mtu anajua. Kwa sbb ya ego na kiburi chenu mnaona haya kukubali kushindwa na kumwachia aende zake. Mnaogopa kwa sbb akitoka tu atamwaga siri zenu zote. Si friji lake haligandishi bhana?

4. Sasa hiki ndicho kinachowakabili mbele yenu juu ya huyu bwana. Ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukienda mbele nchale na ukirudi nyuma nchale. It's a total confusion Mnatamani mummalize kwa njia yoyote ile. Huku nje nako kumewaka moto. GenZ hawapoi.!!

5. Mtafanya nini sasa ili kujiokoa nyie wenyewe na nafsi zenu na kuikoa nchi na taifa? Jibu ni rahisi tu: Kubalini kushindwa. Wekeni kiburi pembeni, kirini makosa yenu. imezeni aibu yenu, swallow your ego. Mwachieni Tundu Lissu aje kutuliza nchi hii. Nyie hamuwezi kwa kuwa mnadhani suluhu ya mambo haya ni nguvu ya bunduki

6. Kubalini tu kuwa, as it is for now, hakuna mtu mwingine anayeweza kusema neno na wananchi hususani vijana wa GenZ wakamwamini, kumwelewa na kutulia katika nchi hii isipokuwa Tundu Lissu na Askofu Josephat Gwajima pekee. THIS IS UNDISPUTED TRUTH...!! Samia Suluhu Hassan au Mwigulu Nchemba au Dr Emmanuel Nchimbi hawana political moral authority hii!

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA​

1. Huyu ndugu, kimwili ni mwenzetu, ni mwanadamu kama sisi. Lakini ni mjumbe maalumu toka ufalme mwingine Mkuu zaidi kuliko falme zote duniani, ufalme wa mbinguni au ufalme wa Mungu.

2. Alishasema na kuwanya mapema kuwa, mkipuuza ushauri wake, basi CCM ijiandae kulia kilio kikuu cha kukipeleka kwenye mauti yake. Kimeshawafikia tayari. Alisema, kupona kwenu CCM, ni mpaka mtakapomtafuta wenyewe Ili aseme neno jingine tena

3. Huyu Gwajima na Lissu ndio wajumbe wa Mungu Yehova watakaoiponya Tanganyika. Mmeanza na kufungua makanisa yake mliyotafunga kibabe tu, bila sbb yoyote ya kisheria.

4. Kama ndivyo hivyo, basi nendeni hatua inayofuata. Kubalini kuwa mlikosea. Swallow your egos, ondoe kiburi chenu. Tangazeni waziwazi kuuchukua ushauri wake though uchaguzi umekwisha kufanyika hivyo hivyo kimagumashi gumashi tu. Lakini ghadhabu ya Mungu bado ipo inawaka. HAKUNA wa kutuliza isipokuwa mjumbe wa Mungu kwenye hili. Si mwingine bali ni Askofu Josephat Gwajima..!

5. Huyu akitoka na kuhubiria vijana, nchi itatulia, TRUST ME.
Utumbo. Jibu ni kuachia ngazi na kuwajibika. Hay mengine yote ni uchumia tumbo. Gwajima zaidi ya kuwa tapeli na chawa ni nani Tanzania tukiwa wakweli?
 
Hawa njia ya kikatili waliyoamua kuichagua ndio inabidi twende nao hivyo hivyo. Ni njia yenye maumivu lakini italeta mabadiliko ya kweli. Matambiko ya mwenge yamefikia mwisho.
 
Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo, upendeleo fulani wa kisiasa kwake yeye binafsi na chama chake ili akubaliane na mambo yetu ya kijinga na kipuuzi ya kuendelea kuichafua na kuiharibu nchi hii. Amewakatalia na kuwaambia fika kuwa, yeye anataka HAKI TU.
 
Tundu Antipasy Mughway Lisuu​

1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini wa Tundu Lissu". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako

2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo, upendeleo fulani wa kisiasa kwake yeye binafsi na chama chake ili akubaliane na mambo yetu ya kijinga na kipuuzi ya kuendelea kuichafua na kuiharibu nchi hii. Amewakatalia na kuwaambia fika kuwa, yeye anataka HAKI TU.

3. Msimamo wake huo umewaudhi, unawakera na kuwatia ghadhabu. Mahakamani tayari ameshawashinda, hili kila mtu anajua. Kwa sbb ya ego na kiburi chenu mnaona haya kukubali kushindwa na kumwachia aende zake. Mnaogopa kwa sbb akitoka tu atamwaga siri zenu zote. Si friji lake haligandishi bhana?

4. Sasa hiki ndicho kinachowakabili mbele yenu juu ya huyu bwana. Ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukienda mbele nchale na ukirudi nyuma nchale. It's a total confusion Mnatamani mummalize kwa njia yoyote ile. Huku nje nako kumewaka moto. GenZ hawapoi.!!

5. Mtafanya nini sasa ili kujiokoa nyie wenyewe na nafsi zenu na kuikoa nchi na taifa? Jibu ni rahisi tu: Kubalini kushindwa. Wekeni kiburi pembeni, kirini makosa yenu. imezeni aibu yenu, swallow your ego. Mwachieni Tundu Lissu aje kutuliza nchi hii. Nyie hamuwezi kwa kuwa mnadhani suluhu ya mambo haya ni nguvu ya bunduki

6. Kubalini tu kuwa, as it is for now, hakuna mtu mwingine anayeweza kusema neno na wananchi hususani vijana wa GenZ wakamwamini, kumwelewa na kutulia katika nchi hii isipokuwa Tundu Lissu na Askofu Josephat Gwajima pekee. THIS IS UNDISPUTED TRUTH...!! Samia Suluhu Hassan au Mwigulu Nchemba au Dr Emmanuel Nchimbi hawana political moral authority hii!

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA​

1. Huyu ndugu, kimwili ni mwenzetu, ni mwanadamu kama sisi. Lakini ni mjumbe maalumu toka ufalme mwingine Mkuu zaidi kuliko falme zote duniani, ufalme wa mbinguni au ufalme wa Mungu.

2. Alishasema na kuwanya mapema kuwa, mkipuuza ushauri wake, basi CCM ijiandae kulia kilio kikuu cha kukipeleka kwenye mauti yake. Kimeshawafikia tayari. Alisema, kupona kwenu CCM, ni mpaka mtakapomtafuta wenyewe Ili aseme neno jingine tena

3. Huyu Gwajima na Lissu ndio wajumbe wa Mungu Yehova watakaoiponya Tanganyika. Mmeanza na kufungua makanisa yake mliyotafunga kibabe tu, bila sbb yoyote ya kisheria.

4. Kama ndivyo hivyo, basi nendeni hatua inayofuata. Kubalini kuwa mlikosea. Swallow your egos, ondoe kiburi chenu. Tangazeni waziwazi kuuchukua ushauri wake though uchaguzi umekwisha kufanyika hivyo hivyo kimagumashi gumashi tu. Lakini ghadhabu ya Mungu bado ipo inawaka. HAKUNA wa kutuliza isipokuwa mjumbe wa Mungu kwenye hili. Si mwingine bali ni Askofu Josephat Gwajima..!

5. Huyu akitoka na kuhubiria vijana, nchi itatulia, TRUST ME.
Kabla ya Oct 29, ushauri wa Polepole na Gwajima ungefuatwa, basi Mama angestaafu kwa heshima, ila baada ya Oct 29 sioni namna yoyote ya nchi kutulia kama Samia bado yupo madarakani…watu wamepoteza wapendwa wao…hawawezi kuelewa chochote kile mbali na Samia kutoka kwenye hicho kiti.
 
Umewashauri jambo jema sana. Lakini nionavyo hawa watu wanahofia kufilisiwa,kunyongwa,kufungwa n.k. Madhara ambayo wao wanayaona ni makubwa kuliko Madhara ya kitaifa wanayoyasababisha. Sijui wanatumainia nini kwa sasa maana karibu kila wanachojaribu kufanya ili kutuliza JOTO ni kama wanajipalia makaa ya MOTO.
Ngoja tuuone USHUJAA wao wa kumeza hizo EGOS zao endapo wataamua kuufanyia kazi ushauri wako
 
. Mtafanya nini sasa ili kujiokoa nyie wenyewe na nafsi zenu na kuikoa nchi na taifa? Jibu ni rahisi tu: Kubalini kushindwa. Wekeni kiburi pembeni, kirini makosa yenu. imezeni aibu yenu, swallow your ego. Mwachieni Tundu Lissu aje kutuliza nchi hii. Nyie hamuwezi kwa kuwa mnadhani suluhu ya mambo haya ni nguvu ya bunduki
Tundu Lissu is rich in alot of options, to lead, to calm the country. This Man is normal
 
Naunga mkono hoja.
Ref to: hotuba za Mwigulu Nchemba na Simbachawene!

Hotuba zao za kitoto katikati ya madhila yaliyoletwa na Ccm yao zinaonesha ni kwa namna Serikali hii ilivyo na kiburi na hakuna lolote la maana wanaloweza kuliafiki toka kwa umma !
Sahihi kabisa, hawaonekani kujali kabisa bado roho zao ni ngumu zaidi ya pharaoh
 
Tundu Antipasy Mughway Lisuu​

1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini wa Tundu Lissu". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako

2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo, upendeleo fulani wa kisiasa kwake yeye binafsi na chama chake ili akubaliane na mambo yetu ya kijinga na kipuuzi ya kuendelea kuichafua na kuiharibu nchi hii. Amewakatalia na kuwaambia fika kuwa, yeye anataka HAKI TU.

3. Msimamo wake huo umewaudhi, unawakera na kuwatia ghadhabu. Mahakamani tayari ameshawashinda, hili kila mtu anajua. Kwa sbb ya ego na kiburi chenu mnaona haya kukubali kushindwa na kumwachia aende zake. Mnaogopa kwa sbb akitoka tu atamwaga siri zenu zote. Si friji lake haligandishi bhana?

4. Sasa hiki ndicho kinachowakabili mbele yenu juu ya huyu bwana. Ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukienda mbele nchale na ukirudi nyuma nchale. It's a total confusion Mnatamani mummalize kwa njia yoyote ile. Huku nje nako kumewaka moto. GenZ hawapoi.!!

5. Mtafanya nini sasa ili kujiokoa nyie wenyewe na nafsi zenu na kuikoa nchi na taifa? Jibu ni rahisi tu: Kubalini kushindwa. Wekeni kiburi pembeni, kirini makosa yenu. imezeni aibu yenu, swallow your ego. Mwachieni Tundu Lissu aje kutuliza nchi hii. Nyie hamuwezi kwa kuwa mnadhani suluhu ya mambo haya ni nguvu ya bunduki

6. Kubalini tu kuwa, as it is for now, hakuna mtu mwingine anayeweza kusema neno na wananchi hususani vijana wa GenZ wakamwamini, kumwelewa na kutulia katika nchi hii isipokuwa Tundu Lissu na Askofu Josephat Gwajima pekee. THIS IS UNDISPUTED TRUTH...!! Samia Suluhu Hassan au Mwigulu Nchemba au Dr Emmanuel Nchimbi hawana political moral authority hii!

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA​

1. Huyu ndugu, kimwili ni mwenzetu, ni mwanadamu kama sisi. Lakini ni mjumbe maalumu toka ufalme mwingine Mkuu zaidi kuliko falme zote duniani, ufalme wa mbinguni au ufalme wa Mungu.

2. Alishasema na kuwanya mapema kuwa, mkipuuza ushauri wake, basi CCM ijiandae kulia kilio kikuu cha kukipeleka kwenye mauti yake. Kimeshawafikia tayari. Alisema, kupona kwenu CCM, ni mpaka mtakapomtafuta wenyewe Ili aseme neno jingine tena

3. Huyu Gwajima na Lissu ndio wajumbe wa Mungu Yehova watakaoiponya Tanganyika. Mmeanza na kufungua makanisa yake mliyotafunga kibabe tu, bila sbb yoyote ya kisheria.

4. Kama ndivyo hivyo, basi nendeni hatua inayofuata. Kubalini kuwa mlikosea. Swallow your egos, ondoe kiburi chenu. Tangazeni waziwazi kuuchukua ushauri wake though uchaguzi umekwisha kufanyika hivyo hivyo kimagumashi gumashi tu. Lakini ghadhabu ya Mungu bado ipo inawaka. HAKUNA wa kutuliza isipokuwa mjumbe wa Mungu kwenye hili. Si mwingine bali ni Askofu Josephat Gwajima..!

5. Huyu akitoka na kuhubiria vijana, nchi itatulia, TRUST ME.
Bosi ni ngumu sana. Unajua mtu akikubamia kwako na akaua baadhi yawatu siku zote atataka kupoteza ushahidi na ndicho Dkt Samia anataka kufanya. Anataka ikiwezekana Dkt Gwajima na Tundu Lisu na wengine wanaoonekana kuwa na siri na wasemaji wawaue ili nchi iwe kimya. Mfano tu Mdude alikuwa na madhara gani??? Mdude kweli alikuwa wa kupelekea watekaji na kumuua??? Tena Juma Homera ndiye muuaji leo kapewa wizara ya katiba na sheria
 
Washachelewa, ni lzm wahubiri kile wana Gen Z wanakitaka. Vinginevyo hata wao watakataliwa wasiamini macho yao.
 
Utumbo. Jibu ni kuachia ngazi na kuwajibika. Hay mengine yote ni uchumia tumbo. Gwajima zaidi ya kuwa tapeli na chawa ni nani Tanzania tukiwa wakweli?
Pole sana..

Kwenye engo hii, upo gizani, hujui kitu..

Ila NURU ikikuzukia, utafunguka macho na ufahamu wako..

Simama kwenye nafasi yako. Usiyotajua, endelea kujifunza kwayo..
 
Bosi ni ngumu sana. Unajua mtu akikubamia kwako na akaua baadhi yawatu siku zote atataka kupoteza ushahidi na ndicho Dkt Samia anataka kufanya. Anataka ikiwezekana Dkt Gwajima na Tundu Lisu na wengine wanaoonekana kuwa na siri na wasemaji wawaue ili nchi iwe kimya. Mfano tu Mdude alikuwa na madhara gani??? Mdude kweli alikuwa wa kupelekea watekaji na kumuua??? Tena Juma Homera ndiye muuaji leo kapewa wizara ya katiba na sheria
Juma Homera kuanzia D9 kila kilicho chake na yeye mwenyewe personally na familia yake entirely awe miongoni mwa main target..

Auae kwa upanga, sharti naye afe kwa upanga..
 
Tuna maumivi tuna makovu na majeraha nyie hamuwezi kutufariji ni mpumbavu pekee anaeweza kusema watanzania watasahau. Tunaomba mwachie Tundu lissu bila masharti yoyote tunaomba Pole pole ni ayo tu kwa sasa
 
Back
Top Bottom