Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Ni aibu, mtu mwenye mawazo ya kiutu uzima kama haya unakuta anamtukana JPMSipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Tangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka DarSipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
We nani wa kumshauri Rais..!?Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Magufuli alienda Mbeya Mara ngapi?Tangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka Dar
Alienda Marekani mara ngapi?Magufuli alienda Mbeya Mara ngapi?
Kamba ya huyu Mama ni ndefu sana kwa kweli
πππTangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka Dar
Hii ingefyatuka ingeleta movie nzuri kweliππππAcheni nongwa, wenyewe wanasema hiyo ziara;
"Hakuna hata senti moja ya serikali imetumika"
Hapo bado hajaenda hata kubembea kama mkwere.
View attachment 2196028Atarudi usiku wa kuamkia Mei mosi.
Acha ujinga wewe wivu unakusumbuaSipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Hapa tumepigwa