Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,692
Reaction score
3,891
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
 
Akili zenu zimeshaanza kukaa vizuri
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Ni aibu, mtu mwenye mawazo ya kiutu uzima kama haya unakuta anamtukana JPM
 
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Tangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka Dar
 
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
We nani wa kumshauri Rais..!?

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Bado mama yake maiko tuwasalimie na akina blanket, kazi iendelee
 
Acheni nongwa, wenyewe wanasema hiyo ziara;

"Hakuna hata senti moja ya serikali imetumika"

Hapo bado hajaenda hata kubembea kama mkwere.

bembea.jpg
Atarudi usiku wa kuamkia Mei mosi.
 
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Acha ujinga wewe wivu unakusumbua
 
It's very disturbing, hivi unaondokaje nchi yako ukitembelea nchi nyingine for days? I'll iweje...safari ya kikazi, hata kama ni hiyo tour, not more than 2days umerudi kwenye majukumu yako.

The real image of a normal Tanzanian inaonekana dhahiri hapa, tunapenda "kupumzika na kutembelea"!

Shame!
 
Back
Top Bottom