Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Acha ajifunze jinsi Demokrasia ,haki na uhuru wa watu vinavyoweza kusaidia Taifa Kupiga hatua.

Tunataka haki na Demokrasia ya kweli sio upumbavu uliotufanya kuwa na wasomi vilaza wasiolusaidia kitu Taifa hili zaidi ya unafiki na kujikombakomba.

Pakiwa na Demokrasia ya kweli Wasomi wanafiki kama akina Mkumbo, Bashiru, Kabudi na Wengine watarudisha akili zao. Mana itakua ni ama ukweli au uwongo. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Wananchi wataamua Kwa sera sio vitisho vya Sasa. Watu wanajua ukweli lakini wanafanya unafiki.

Kitilya Mkumbo awamu ya Tano aliona jinsi ilivyokua sekta binafsi zilizokuwa zinatoa ajira lakini hakusema akafurahia kuona watanzania wasomi wakibaki kuwa wachuuzi wa kuuza midoli ya viwanda vya china barabarani.

Kabla ya Kitilya Mkumbo kuwa Waziri wa nchi hii Vijana Toka Lindi na Mtwara walianza kurudi vijijini na kulima Korosho walipoona Bei ya korosho na soko la uhakika. Vijana walipata pesa za uhakika na nchi iliingiza pesa nyingi za kigeni. Mkumbo na Genge lake waliua soko la Korosho na kuwafanya Vijana wa kimachinga kukimbilia Tena Dar es Salaam na kujazana mitaani kuuza yeboyebo Toka China na viatu vya plastiki huku sendo za kimasai na viatu vya ngozi Toka Lukaranga vikikosa soko.

Kama safari ya mama ni hasara Kwa Taifa basi Bunge lijadili hasara hiyo Kwa Taifa kama wanavyojadili Bodaboda kuingia katikati ya mji.

Yani uzuzie Noah kubebe abiria na Hiace kuingia katikati ya mji halafu uruhusu Bajaji na Pikipiki. Ni akili au matope.
 

Kwa nini mababu zetu hawakuwashirikisha wanawake kwenye vikao vya maamuzi​

 
Ngoja aonane na Rihana kwanza.
 
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.


Alaa, Kumbe shida yako ni wale wanaompinga na si masuala ya gharama za matumizi anapozidi kuwepo huko??!!😨
 
Wakati mwingine nafikiri marais style za Kikwete na mama Samia huwa wanatamani Tanzania liwe jimbo la Marekani na wao kujiona kama magavana wa jimbo la Tanzania. Ogopa sana kuongozwa na mtu mwenye akili ndogo.
 
 
Mwache atembee ili atafute misaada kwa ajili ya wananchi wake.
 
Aisee,mana ana ratiba yake iliyopangwa,hakai huko mradi mradi tu
 
hizi safari ni yale yale ya awamuuu ileeeeee ya yule bwanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…