Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Nadhani wanaoona hajatimiza lengo ni wale ambao wametizama hardtalk kwa mara ya kwanza. Na wasiojua kiingereza. Lissu kafanikiwa sana
 
Lisu hana mshipa wa aibu. Yaani bado tu anataka kuendelea kufanya mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa baada ya kujiaibisha HARDtalk BBC juzi?
 
Natamani kujiunga na B7 na mimi niweze kumuambia mke wangu abandike mboga naenda kuleta unga, hata kama nimefulia.

Hivi ukishaandika hivi, unatakiwa uprint na kumpelekea chakubanga ili aidhinishe malipo au ni mkataba wa mwezi kwa mwezi?
 
Hii ni staili ya propaganda ya enzi za ukomunisti ya USSR...

Sasa tuko karne ya 21 ndugu, amkeni badilikeni....

Mpaka sasa HARD TALK ya Tundu Lissu trh 21/1/2019 ilifuatiliwa (live) na watu takribani 350,000,000 duniani kote...

Na mpaka leo takribani viewers bilioni 2 wanaendelea kuangalia!!

Na kwa taarifa yako tu Richard Quest si mwandaa makala za kisiasa bali yeye makala zake nyingi ni za uchumi na biashara....

Kwa CNN ungeniambia kuhusu mwanamama Christiane Amanpour ningekuelewa kwa sababu huyu ingalau ana kipindi chenye maudhui kama HardTalk ya BBC News...
 

Lumumba mnaweweseka. Tulieni dawa iwaingie
 

Unaona, ni watu wa kizazi chetu wanaweza kutoa ushahidi kutetea hoja zao, asanate kwa kufaya hivyo.
Huu ni ushaidi usio tetea hoja uliyoitoa. Mahojiano haya ni kuhusu uchumi wa nchi. Ushahidi tunaouhitaji hapa na ambao ungetetea hoja yako ni:-
1. Maombi yakutaka kukutana na CNN au mwaliko kutoka CNN.
2. Majibu ya kukubali mwaliko kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu kwenda CNN au majibu ya ombi la Mhe. Tundu Lissu kutoka CNN
3. .Barua ya kuomba kuhairisha mahojiano au kufuta mahojiano kutoka kwa Mhe. Lissu na humo ndani zingekuwepo sababu.
 
Kamanda uchumi ni sehemu ya siasa,kwani Lissu anaongeaaaa siasa tu?si mgombea urais kwani umesahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quest? Je Tundu Lissu ni muwekezaji? Au mfanyabiashara? Umekurupuka na umejitoa ufahamu!
 
kwanini uvccm mnawashwawashwa na lissu? si kwenye magroup yenu mnasema lissu kashindwa kujibu maswali hadi ikafikia polepole kusema mwandishi wa habari ni mwanachama mpya wa ccm. Subirini ahojiwe na ccn ili aendelee kujiaibisha na nyie mpate kick. Au mnataka kutudhihirishia na msemo wa jamaa mmoja kuwa "waliomuelewa tundu lissu wengi ni uvccm ambao hawajui kiingereza"
 
Kamanda wewe unayejua kizungu tuambie alizungumza nini?
 
CCM mnafanya Propaganda za kitoto sana. inamaana hamna kabisa watu wenye uwezo mzuri wa kufikiri? please msiwafanye watu wote ndondocha kama nyie mlivyo. mtutake radhi sisi wenye akili.
 
Usichokijua wenzako walishamaliza kila kitu zamanii, wewe ndo unakulupuka leo,subir umeze vidongo
 
Quest sio kwamba hafanyi Interview na wanasiasa. Hata Hardtalk inahoji pia wanamichezo.

Tatizo mi kwamba huelewi theme ya vipindi unavyoviongelea.

Quest vipindi vyake vyote vitatu vinajikita kuhusu maeneo mawili makuu. 1: Travel 2:Business

Hata hio aliyomuhoji UK ilikua inahusu utalii ambacho ndo kitu kikimpeleka Quest Kenya. Sasa TL akahojiwe na Richard Quest kuhusu nini??? Utalii wake bungeni??

Kwa CNN mngesema Christina Amanpour ingeeleweka kidogo
 
Ndugu watanzania wenzangu msisikilize porojo zozote kutoka kwa mtu mwenye haraka ya kunyonyesha mtoto mchanga , Ratiba ya ziara ya Mh Lissu imewekwa humu na Erythrocyte .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…