Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Kamanda jenga hoja badala ya ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete source ya habari yako mkuu.
 
CCM Mpya imejaa washamba.

Ajirini hata watu wenye uelewa wawasaidie na hizi cheap propaganda.

Richard Quest? Heri mngesema Christiane Amanpour.

Ushamba na Ulimbukeni.
 



Takribani ccm wote wangefurahi sana wakisikia Tundu Lissu amekufa
 
Lissu cyo size yenuuuuu

Lissu anawafanya muendelee kuwashwa washwaaa.....

Nadhani mnavyomzungumzia ndio mnazidi kuudhihirishia umma wa Tanzania, Africa na dunia kwa ujumla kuwa Lissu ni zaidi ya Lumumbaz woote mkijumlishwa na Hanna hoja za kumfanya asifanye anachofanya.........

VIVA Lissu
VIVA Lissu....
 
Kamanda inabidi afanye "mock interview" kabla ya mahojiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda jenga hoja badala ya ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimekuambia na kuwaambia wabunge waliomo humu kuwa, waje na hoja bungeni ya kuondoa nafasi za unaibu waziri kwenye serikali ili kupunguza ukubwa wa serikali na matumizi makubwa! Kama kwako hii siyo hoja na ni ramli basi, jikaze tu kisabuni wakati hoja hii ikijengwa na wabunge makini ndipo utajua kuwa huitendei haki nafasi hiyo kwa namna yoyote binafsi sijauona mchango wako katika wizara unayoingoza! Itapendeza rais akaichukua hoja hii na kuifanyia kazi.
 
U
Unajua lakini Richard Quest ni Wa masuala ya biashara tu? Au unadhani wa nchi zile ni kama Wa huku, yani PJ Wa Clouds anasoma vichwa vya habari kesho anamhoji waziri Wa viwanda, kajipange na huu ujinga wako please
 
U

Unajua lakini Richard Quest ni Wa masuala ya biashara tu? Au unadhani wa nchi zile ni kama Wa huku, yani PJ Wa Clouds anasoma vichwa vya habari kesho anamhoji waziri Wa viwanda, kajipange na huu ujinga wako please
Kijana acha ujuaji,huyo mtu anahoji wanasiasa na marais wengi, je huongea biashara tu? Lissu kama mgombea wa urais hajui kitu kuhusu biashara?fikiri mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha aende tu akaongee maana hakuna jipya atakaloongea zaidi ya zile pumba alizoongea BBC . Yaani kama hiyo ndo strategy ya CHADEMA ya kumtumia Lissu kuichafua TANZANIA basi watafute mtu mwingine
Huna haja ya kuweweseka na kuanza kucompare mahojiano yote mawili na kutoka na hii poor solution uliyoiweka hapa kwani kila mtu ana namna yake ya kuperceive kile alichosikia na kukiinterpret according to the situation aliyonayo na mazingira aliyopo!
Kwa maana nyingine ni kuwa, wewe siyo mhitimishaji wa mwisho wa wengine bali hayo ni mawazo na matazamo wako ambao unaukwepa ukweli na kuzamia kwenye itikadi! Tumia angle ya kisomi ili angalau uutendee haki usomi wako!
 
Umbea, Umbea, Umbea, umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…