Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?


Kilichofanyika siku ile siyo Harambee ya Kuchangia fedha kwa ajili ya zoezi lao lijalo Bali ni STATE CAPTURE Process.
Na sifa Kuu ya State Capture ni kufanya Taasisi zote kabisa za Umma ku-paralysis na kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo.
Haya ni matokeo ya State Capture
 
Wanapambana na wasema ukweli,ubinafsi umekuwa mkubwa sana
 
Kazi yao ni kutoa taarifa na kureport kwa serikali ya CCM ambayo sifa yake kuu ni uwongouwongo.
 
Hii nchi inajitamba ina Tiss,polisi na JWTZ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwakifupi tunavyombo mhumbumbu
 
Nadhani like always tunatoka kwenye Hoja za maana tunagusa gusa vitu ambavyo hata legally hatuna standing....

Badala kujiuliza huyu ambaye tulimwita mwizi na akatuingiza kwenye matatizo makubwa na sasa hivi ametoka na pesa zile ambazo tulisema amehujumu uchumi kulipwa.., tunaongelea leo uraia wake na kuweza kutoa mchango / harambee ?!!!

Tunatumia nguvu zaidi kwenye nyongeza kuliko habari zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…