Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Bongo kwenye takwimu raha sana aisee, eneo linalomwagiliwa 2021/2022 ni hekta 727280Awamu zilizotangulia ukiacha awamu ya 1 na ya 4 zilifanya kipi Cha maana kwenye Kilimo?
Zingewekeza Kwa Nguvu na serious kama ilivyo Sasa tusingekuwa tunaagiza ngano Wala Mafuta ya kula,ila yote hayo Kwa Sasa ndio yamewekewa target kukomeshwa by 2030.
Mathalani Toka Uhuru Kuna hectares za Umwagiliaji 700k plus ila awamu ya mama pekee inajenga miundombinu ya Umwagiliaji hectares zaidi ya 500k.
Jawajaishia kujenga na kuacha Bali wameimarisha usimamizi ,staff,vitendea kazi ,Huduma za ugani,mbegu Bora nk 👇👇View attachment 3097870View attachment 3097871
Eneo linalomwagiliwa 2022/23 ni hekta 727280
Eneo linalomwagiliwa 2023/2024 ni hekta 727,280
For three consecutive years ni hivyo hivyo haliongezeki? Hapo ndio unapaswa kujua data kamili ni zipi.
Kwenye press za waziri kwenye mikutano ya wadau nje na ndani it's different na za bungeni. Alafu tusiende sana huku mm nilikuambia ni pro gavoo Ila unataka nianze kufukua vitu havina afya kwa pro gavoo yoyote