IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Awamu zilizotangulia ukiacha awamu ya 1 na ya 4 zilifanya kipi Cha maana kwenye Kilimo?

Zingewekeza Kwa Nguvu na serious kama ilivyo Sasa tusingekuwa tunaagiza ngano Wala Mafuta ya kula,ila yote hayo Kwa Sasa ndio yamewekewa target kukomeshwa by 2030.

Mathalani Toka Uhuru Kuna hectares za Umwagiliaji 700k plus ila awamu ya mama pekee inajenga miundombinu ya Umwagiliaji hectares zaidi ya 500k.

Jawajaishia kujenga na kuacha Bali wameimarisha usimamizi ,staff,vitendea kazi ,Huduma za ugani,mbegu Bora nk 👇👇View attachment 3097870View attachment 3097871
Bongo kwenye takwimu raha sana aisee, eneo linalomwagiliwa 2021/2022 ni hekta 727280
Eneo linalomwagiliwa 2022/23 ni hekta 727280
Eneo linalomwagiliwa 2023/2024 ni hekta 727,280
For three consecutive years ni hivyo hivyo haliongezeki? Hapo ndio unapaswa kujua data kamili ni zipi.
Kwenye press za waziri kwenye mikutano ya wadau nje na ndani it's different na za bungeni. Alafu tusiende sana huku mm nilikuambia ni pro gavoo Ila unataka nianze kufukua vitu havina afya kwa pro gavoo yoyote
 
Attachments

  • Screenshot_20240917-001704_1.jpg
    Screenshot_20240917-001704_1.jpg
    320.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240917-001435_1.jpg
    Screenshot_20240917-001435_1.jpg
    217.3 KB · Views: 1
Bongo kwenye takwimu raha sana aisee, eneo linalomwagiliwa 2021/2022 ni hekta 727280
Eneo linalomwagiliwa 2022/23 ni hekta 727280
Eneo linalomwagiliwa 2023/2024 ni hekta 727,280
For three consecutive years ni hivyo hivyo haliongezeki? Hapo ndio unapaswa kujua data kamili ni zipi.
Kwenye press za waziri kwenye mikutano ya wadau nje na ndani it's different na za bungeni. Alafu tusiende sana huku mm nilikuambia ni pro gavoo Ila unataka nianze kufukua vitu havina afya kwa pro gavoo yoyote
Harafu post vizuri attachment.

Wako sawa Kwa sababu miaka yote kabla ya 2021/22 hakuna miradi mipya ya irrigation iliyojengwa Kwa sababu Bajeti ilikuwa kiduchu na pengine ilipelekwa kwenye ukarabati tuu.

Weka hapa data za kuanzia 2016 Hadi 2021 tuone kama kulikuwa na miradi mipya.

Nachojua Mimi ,kuanzia mwaka 2021/22 ndio Tume ya Umwagiliaji imepewa pesa na hivyo kazi wanayofanya ni ukarabati wa skimu za zamani na ujenzi wa skimu Mpya ambazo nyingi hazijakamilika kama walivyoeleza hapa 👇 👇
Screenshot_20240916-214056.jpg
Screenshot_20240916-220703.jpg
Screenshot_20240916-220608.jpg

Naendelea kusisitiza ni awamu ya 6 tuu ndio Iko serious na Kilimo ,waliotangulia hamna kitu walifanya 👇👇
20240917_070152.jpg

View: https://x.com/nirc_tz/status/1834469740909048214?t=_ce5Bkbw-YAZ0lRe2cJFJA&s=19

View: https://x.com/nirc_tz/status/1831730867770708067?t=F87UwqK-IHEOcvTmZXNayQ&s=19
 
Harafu post vizuri attachment.

Wako sawa Kwa sababu miaka yote kabla ya 2021/22 hakuna miradi mipya ya irrigation iliyojengwa Kwa sababu Bajeti ilikuwa kiduchu na pengine ilipelekwa kwenye ukarabati tuu.

Weka hapa data za kuanzia 2016 Hadi 2021 tuone kama kulikuwa na miradi mipya.

Nachojua Mimi ,kuanzia mwaka 2021/22 ndio Tume ya Umwagiliaji imepewa pesa na hivyo kazi wanayofanya ni ukarabati wa skimu za zamani na ujenzi wa skimu Mpya ambazo nyingi hazijakamilika kama walivyoeleza hapa 👇 👇 View attachment 3098045View attachment 3098046View attachment 3098047

Naendelea kusisitiza ni awamu ya 6 tuu ndio Iko serious na Kilimo ,waliotangulia hamna kitu walifanya 👇👇
View attachment 3098048

View: https://x.com/nirc_tz/status/1834469740909048214?t=_ce5Bkbw-YAZ0lRe2cJFJA&s=19

View: https://x.com/nirc_tz/status/1831730867770708067?t=F87UwqK-IHEOcvTmZXNayQ&s=19

Unajua kusoma vizuri? Soma nilichoandika alafh angalia ulichojibu. Nimekuambia mwaka 2022 bashe alisema umwagiliaji ni hekta 727,280
Mwaka 2024 bashe akiwa bungeni akiwasilisha hotuba ya wizara ambayo umeweka hapo kwenye attachment inasema umwagiliaji ni hekta 727,280. Swali langu kwako je katika hii miaka mitatu hakuna hekta za umwagiliaji zilizoongezeka? Kama zimeongezeka kwa nn toka 2021 hadi sasa hivi 2024 bado hekta za umwagiliaji ni 727,280??? Naamini umeelewa swali, so naomba jibu la hili

Waliotangulia walifanya vizuri sana na umwagiliaji ilikua ni wizara kabisa - Maji na umwagiliaji. 2010 umwagiliaji ikarudishwa wizara ya kilimo, 2015 ikarudi tena Kama zamani - Maji na umwagiliaji. Ndio maana nilikuuliza umekuja Tanzania lini? Wakati wa magufuli mawaziri walikua gerson lwenge, akafuatiwa na Isaac kamwelwe, nae akafuatiwa na makame mbarawa. Ukisema hakukua na kipaumbele utakua ni uongo wakati ilikua ni wizara kabisa na sio idara
 
Jibu ni hakuna Kwa sababu Bado ziko kwenye ujenzi hata ukisoma attachment nilizokuwekea ameeleza vyema kwamba hectares zilizoanza 2021 kujengwa zinaendelea na ujenzi.

Kubadilisha Mawaziri hakuongezi hactares za irrigation,yaani Bajeti Bil.290 na zilikuwa hazitoki zingefanya kipi?

Mwisho sio tuu Magu hakutoa kipaombele Kilimo Bali alikiouiza mazima ,Leta mradi hata mmja kama ushahidi uliojengwa awamu ya Magufuli
 
So kutoka 2021 hadi June 2024 hakukua na mradi uliokamilika wa umwagiliaji? Inawezekana vipi miradi yote iwe haijakamilika kwa muda huo? Na mbona hii inapingana na ulichosema mwenyewe mwanzo kuwa kwa miaka mitatu zimejengwa hekta laki 5? Unajichanganya

Bajeti ilikua haitoki?? Pia unapaswa kujua umwagiliajj haikua wizara ya kilimo, ilikua wizara ya umwagiliajj kama nilivyokuambia

Magu alikiumiza kilimo mazima? Hii si tulijadili Jana nikakuuliza kwa Sasa kilimo kinachangia kiasi gani kwenye GDP, ukaja na takwimu, nami nikakuletea za wakati huo na zikawa juu kuliko ilivyo sasa. So inakuaje kilimo kiliumizwa ikiwa pato la kilimo likawa juu kuliko Sasa????

Alafu nilikuambia hii kulinganisha awamu achana nayo sababu utanifanya na mm nilinganishe ikiwa sina hilo lengo sababu nimeona maraisi wote wamefanya kazi kubwa
 
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.

Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.

Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.👇👇

View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19

My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
View attachment 3097657

Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.

Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.

Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19

Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.

Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Magu aliachiwa uchumi unaokua kwa 7%+,akatakiwa aufikishe 12 maana kila kitu kilikua mahala pake,akaleta ujuaji na chuki dhidi ya wenye nacho,akauporomosha hadi 4+
 
So kutoka 2021 hadi June 2024 hakukua na mradi uliokamilika wa umwagiliaji? Inawezekana vipi miradi yote iwe haijakamilika kwa muda huo? Na mbona hii inapingana na ulichosema mwenyewe mwanzo kuwa kwa miaka mitatu zimejengwa hekta laki 5? Unajichanganya

Bajeti ilikua haitoki?? Pia unapaswa kujua umwagiliajj haikua wizara ya kilimo, ilikua wizara ya umwagiliajj kama nilivyokuambia

Magu alikiumiza kilimo mazima? Hii si tulijadili Jana nikakuuliza kwa Sasa kilimo kinachangia kiasi gani kwenye GDP, ukaja na takwimu, nami nikakuletea za wakati huo na zikawa juu kuliko ilivyo sasa. So inakuaje kilimo kiliumizwa ikiwa pato la kilimo likawa juu kuliko Sasa????

Alafu nilikuambia hii kulinganisha awamu achana nayo sababu utanifanya na mm nilinganishe ikiwa sina hilo lengo sababu nimeona maraisi wote wamefanya kazi kubwa
Hakuna mahala nimesema zimejengwa hacteres hizo Bali zinajengwa Jumla ya hactares zaidi ya 500k na taarifa ya Wizara nimekuwekea 👇👇
Screenshot_20240916-214056.jpg
Screenshot_20240916-213932.jpg
Screenshot_20240916-220608.jpg
Screenshot_20240916-220703.jpg

Mwisho,Ligi ya kulinganisha awamu ndio napenda Sasa,Anza kulinganisha kama hujakimbia tuanze na Kilimo au chagua sekta unayoitaka.
 
Magu aliachiwa uchumi unaokua kwa 7%+,akatakiwa aufikishe 12 maana kila kitu kilikua mahala pake,akaleta ujuaji na chuki dhidi ya wenye nacho,akauporomosha hadi 4+
Leta takwimu za unachoongea Wacha blaa blaa za kijinga 😆😆😆
 
economic growth in Tanzania?

Tanzania gdp growth rate for 2022 was 4.56%, a 0.24% increase from 2021. Tanzania gdp growth rate for 2021 was 4.32%, a 2.33% increase from 2020. Tanzania gdp growth rate for 2020 was 1.99%, a 3.81% decline from 2019. Tanzania gdp growth rate for 2019 was 5.80%, a 0.3% increase from 2018.

Tanzania

Pamoja na kwamba hizi takwimu ni za kubumba ila sijaona 7% uliyosema na pia hakuna mwaka Tanzania imewahi kuwa na GDP growth ya 1.99% ,Wacha uongo 😆😆😆😆

Tumia reliable sources
 
Hakuna mahala nimesema zimejengwa hacteres hizo Bali zinajengwa Jumla ya hactares zaidi ya 500k na taarifa ya Wizara nimekuwekea 👇👇
View attachment 3098652View attachment 3098653View attachment 3098654View attachment 3098656

Mwisho,Ligi ya kulinganisha awamu ndio napenda Sasa,Anza kulinganisha kama hujakimbia tuanze na Kilimo au chagua sekta unayoitaka.
Kwa akili ya kawaida miradi yote iliyoanzishwa sehemu mbalimbali nchi kwa nguvu kubwa na bjeti kubwa inawezekana vipi hata mmoja usikamilike kwa miaka yote hii mitatu???

Kuhusu kulinganisha awamu, mbona tulijadili jana na ukasema kilimo kwa sasa kinachangia trillion 38 kwenye GDP. Nilikuwekea kwa awamu zingine zilipokua juu ya hiyo.
 
Magu aliachiwa uchumi unaokua kwa 7%+,akatakiwa aufikishe 12 maana kila kitu kilikua mahala pake,akaleta ujuaji na chuki dhidi ya wenye nacho,akauporomosha hadi 4+
Uongo
Wakati magufuli anaingia uchumi ulikua kwa 6% , na uliendelea hiyo 6% mpaka ule mwaka wa Corona 2020 ndio ukadrop sababu ya Corona

Lakini pia nakupa angalizo kuwa na growht rate kubwa sio issue, Ethiopia wamekua na growth kubwa kwa miaka zaidi ya 10 but bado wanapumulia mashine
 
Si nimeweka ya 2021 ambao ni uchumi wa magu upo 4+!!!
Hizi growth rate uliwa hufahamu exactly Ni nn hutaelewa. Kwenye hizo data zako unaona hata hiyo 2012 ilidrop na kuwa 4, unahisi kwa nn ilidrop kuwa 4 wakati wa jK ambapo alianzia na 7??

Jibu utalopata hapo ndio utaelewa why hiyo 2021 ilifika pia 4.

Lakini hizi growth rate zitakumislead, sio kipimo lizuri cha nchi kufanya vizuri ndio maana unaona nchi maskini kabisa kama Malawi ana growth rate nzuri kuliko nchi nyingi sana Africa na duniani
 
Unaandika utoko gani babu!!?
 
Back
Top Bottom