#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Mzungu hakwepeki lilikuwa suala la muda tu. Ila tuwe na shukrani na ustaarabu ktk kuongea na wageni hasa development partners wetu wa tangu uhuru,hii lugha ya mabeberu ni ya kishamba sana na sio ustaarabu ilikuwepo zamani sana na walioianzisha waliiacha maana dunia ilishastaarabika.
Hii misukuma sio ya kupewa nchi tena,wengi wao ni primitive na wajinga sana ata wasome vipi bado hawabadiliki!
Tatizo huelewi maana ya neno ubeberu. Ubeberu unaweza kua wa kichina kizungu hata wa kenya. Ni pale nchi inasukuma maslahi yake ya kiuchumi kibabe dhidi ya maslahi ya nchi nyingine. Ni economic imperialism to be exact. Inaonyesha uko sentimental na magharibi wakati ndio mabeberu.
 
Ndio, usiwe mbishi nenda hospital za serikali ndio utajua corona ipo au haipo.. wagonjwa wanaishiwa adi mitungi ya gesi wewe unadhani utani! Nikusikilize wewe au daktari aliesema wagonjwa wa corona ni wengi, na wengine hufariki!!

Wabongo acheni ubishi bwana
Hoja yangu sio kutokuwepo wagonjwa wa corona bali nilikuwa nasema kwamba watu hawajawahi kuacha kufa, kabla ya hiyo corona hospitali zimekuwa na wagonjwa wa maradhi mbalimbali na wengine wanakufa, na wapo waliyokuwa wakitumia hiyo mitungi ya gesi.
 
Acheni ujinga hamna Corona yeyote Tanzania. Mnajaribu kuwatia watu hofu na kwa taarifa yenu hatutishiki wala hatuogopi kwa sababu hamna Corona.
 
Tatizo huelewi maana ya neno ubeberu. Ubeberu unaweza kua wa kichina kizungu hata wa kenya. Ni pale nchi inasukuma maslahi yake ya kiuchumi kibabe dhidi ya maslahi ya nchi nyingine. Ni economic imperialism to be exact. Inaonyesha uko sentimental na magharibi wakati ndio mabeberu.
Bado hauelewi mkuu, in modern world maneno kama imperialism hayaongelewi tena na wajanja utaonekana ni mshamba wa uchumi maana yamepitwa na wakati,yamebakia kwenye curriculum tu. Dunia inaongelea globalisation siku hizi na namna ya kuhusiana kiuchumi in a win-win situations, amka kutoka fikra za zamani. Hali hii haiepukiki wala hutakaa kama kisiwa either you join in a negotiable terms or you stagnante your economy.

Imperialists wamebaki kuwa waafrika wenyewe kwa wenyewe,hiyo stage mzungu aliiacha kitambo sana. Siku hizi wanaongelea globalized economy,usipojiunga unabakia na uchumi uliokufa.
 
Hoja yangu sio kutokuwepo wagonjwa wa corona bali nilikuwa nasema kwamba watu hawajawahi kuacha kufa, kabla ya hiyo corona hospitali zimekuwa na wagonjwa wa maradhi mbalimbali na wengine wanakufa, na wapo waliyokuwa wakitumia hiyo mitungi ya gesi.

Nikweli unachokisema mkuu uhuru jr.. lakini wengi wao walikua wanapona pia, hili gonjwa ndio inapelekea watu wachomoke kutokana na maradhi makubwa walionayo kama kisukari, pressure, cancer, moyo n.k.
 
Nikweli unachokisema mkuu uhuru jr.. lakini wengi wao walikua wanapona pia, hili gonjwa ndio inapelekea watu wachomoke kutokana na maradhi makubwa walionayo kama kisukari, pressure, cancer, moyo n.k.
Tatizo hili suala linazungumziwa kijumla jumla sana kwa sababu kiangali hayo magonjwa uliyotaja ndio husumbua sana watu na ndio huondoa sana watu. Kwahiyo tukisema corona inawapukutisha hao wenye hayo maradhi maana yake kwamba vifo vyao vimezidi au kuongezeka zaidi ya ilivyokuwa before corona.
 
Yeah , before hawakuwa wanakufa wengi, ila baada ya hili janga kutufikia hali imekuwa mbaya/vifo vimezidi.
 
Hiyo ni kitakwimu au kwa unavyoona tu?

Katika jamaa zangu, ndugu n.k haijawahi tokea kuchomoka wengi kwa muda mfupi ivyo ila kipindi hiki cha covid19. Tushazoea inapita muda mlefu ata 2 years-5years mtu anachomoka.
 
Katika jamaa zangu, ndugu n.k haijawahi tokea kuchomoka wengi kwa muda mfupi ivyo ila kipindi hiki cha covid19. Tushazoea inapita muda mlefu ata 2 years-5years mtu anachomoka.
Unaweza ukawa sahihi unachosema ila pia sio wote ambao wanaona au kinawatokea kama wewe na ndio sababu ya kubishana kwamba corona ipo au haipo.
 
Kukopa sio shida.kama hao wanaokopwa hawajalalamika sisi wananch tunalalama nini

Kukopa kunakuwa kubaya kama unakopa for consumption

Yaan unakopa ulipe mishahara au kughalimia gharama za kuendesha serikal

Ila kama unakopa ili usimike miradi shda ni nini.
unakopa il upanue bandari
unakopa il ujenge miundombinu.napo kuna shida!

Vipi kama mikopo ingechukuliwa na hata hiyo miundombinu usiione ungefanya nini.
 
Back
Top Bottom