Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti feki na waliotumbuliwa na Magufuli watakupinga na kukukejeliHatimae inaelekea mtego wa mabeberu wa covid 19 utafyatuka kuinasa Serikali ya Samia.
IMF na Benki ya Dunia wako kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kuikopesha kiasi cha dola za kimarekani $571 milioni. Kiasi hicho ni takriban sawa na shilingi za kitanzania trilion 1.2. Hizo ni hela nyingi sana ambazo nchi inaenda kutiwa deni.
Kuna mtazamo duniani kote kwamba covid 19 ni ugonjwa ambao madhara yake yamekuzwa kwa kutiwa chumvi sana na mashirika na makampuni yenye ubia wa kibiashara na magonjwa yanayosambaa kwa haraka. Na kwamba ubia huu unasambaa hadi kwenye mabenki yanayomilikiwa na nchi za kibeberu.
Mabenki ya nchi tajiri ifm na beni ya dunia wanakukopesha ili ununue toka makampuni ya nchi zao.
Mkakati wao ni kuwatia walimwengu hofu na kuwatisha ili wanunue toka orodha ya chanjo madawa na vifaa ambavyo wala sio mahitaji ya lazima.
Rais Magufuli alikuwa mwangalifu na jasiri kwenye janga hili ili kuepusha nchi kuingia kwenye mkopo usio lazima na pia kusimamisha maendeleo ya kiuchumi ya nchi.
Aliweza kubaini baadhi ya njama kama vile kuwekwa data za uongo kuhusu idadi ya wagonjwa wa covid 19 na kadhalika. Pia aliwaambia hizo nchi na benki ya dunia zilizotoa ofa ya mikopo harakaharaka wafanye msaada wa bure badala ya mkopo.
Katika mazungumzo yanayoendelea inafaa serikali isiende pupa maana kuna viongozi wana maslahi ya kibinafsi huku nchi inaingizwa kwenye deni lingine kubwa pengine halihitajiki.
... tembelea mahospitalini uone binadamu wanavyoteseka acha kuandika upumbavu! Kama hayajakukuta kaa kimya na umshukuru Mungu. Maelfu waliofariki duniani kwa Covid 19 bado akili yako inakutuma "umetiwa chumvi sana"; unataka hadi nini kitokee ndio uone reality?...
Kuna mtazamo duniani kote kwamba covid 19 ni ugonjwa ambao madhara yake yamekuzwa kwa kutiwa chumvi sana na mashirika na makampuni yenye ubia wa kibiashara na magonjwa yanayosambaa kwa haraka. Na kwamba ubia huu unasambaa hadi kwenye mabenki yanayomilikiwa na nchi za kibeberu.
....
Mzungu hakwepeki lilikuwa suala la muda tu. Ila tuwe na shukrani na ustaarabu ktk kuongea na wageni hasa development partners wetu wa tangu uhuru,hii lugha ya mabeberu ni ya kishamba sana na sio ustaarabu ilikuwepo zamani sana na walioianzisha waliiacha maana dunia ilishastaarabika.Hatimae inaelekea mtego wa mabeberu wa covid 19 utafyatuka kuinasa Serikali ya Samia.
IMF na Benki ya Dunia wako kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kuikopesha kiasi cha dola za kimarekani $571 milioni. Kiasi hicho ni takriban sawa na shilingi za kitanzania trilion 1.2. Hizo ni hela nyingi sana ambazo nchi inaenda kutiwa deni.
Kuna mtazamo duniani kote kwamba covid 19 ni ugonjwa ambao madhara yake yamekuzwa kwa kutiwa chumvi sana na mashirika na makampuni yenye ubia wa kibiashara na magonjwa yanayosambaa kwa haraka. Na kwamba ubia huu unasambaa hadi kwenye mabenki yanayomilikiwa na nchi za kibeberu.
Mabenki ya nchi tajiri ifm na beni ya dunia wanakukopesha ili ununue toka makampuni ya nchi zao.
Mkakati wao ni kuwatia walimwengu hofu na kuwatisha ili wanunue toka orodha ya chanjo madawa na vifaa ambavyo wala sio mahitaji ya lazima.
Rais Magufuli alikuwa mwangalifu na jasiri kwenye janga hili ili kuepusha nchi kuingia kwenye mkopo usio lazima na pia kusimamisha maendeleo ya kiuchumi ya nchi.
Aliweza kubaini baadhi ya njama kama vile kuwekwa data za uongo kuhusu idadi ya wagonjwa wa covid 19 na kadhalika. Pia aliwaambia hizo nchi na benki ya dunia zilizotoa ofa ya mikopo harakaharaka wafanye msaada wa bure badala ya mkopo.
Katika mazungumzo yanayoendelea inafaa serikali isiende pupa maana kuna viongozi wana maslahi ya kibinafsi huku nchi inaingizwa kwenye deni lingine kubwa pengine halihitajiki.
Ni ushamba wenu tu na sumu aliyowapa kichaa aliekufa inafanya kazi sana kwenu, wewe una chanjo ngapi tangu utotoni?Upo sahihi sana, ni wakati sasa wa mabeberu kutukamata masikio.......wanakupa mkopo ununue sumu inayoitwa chanjo kwao, hapo hapo wanakuwa wamefanikisha lengo la kudunga sumu kwa watu wako na mkopo unalipa, aisee hongera kwa kujua hizi mambo......
Hizo programs za population control unafikiri wanalenga nani kama siyo nyani kama wewe, unafikiri wameanza leo......jitambue mzee....Ni ushamba wenu tu na sumu aliyowapa kichaa aliekufa inafanya kazi sana kwenu, wewe una chanjo ngapi tangu utotoni?
Kwa nini wasingekuua wakati huo?
Unatumia teknolojia yao,nguo zao,mpaka chakula! Leo unaona chanjo ya korona tu? Kweli wajinga bado ni wengi mno!
YAANI WEWE SIO TISHIO KABISA KTK DUNIA,SASA MZUNGU AKUUE ILI APATE NINI?
Acha kumsikiliza kichaa aliekufa
Ni kweli cheti feki wanatukana wala hawaelewi. Wakisikia tu hela zinakuja wanawaza kujipanga kula 😂😂Vyeti feki na waliotumbuliwa na Magufuli watakupinga na kukukejeli
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hizo ni hoja za kichaa,mtu mzima unaendeshwa na fikra za kichaa,tena aliekufa!Hizo programs za population control unafikiri wanalenga nani kama siyo nyani kama wewe, unafikiri wameanza leo......jitambue mzee....
Mzungu akiamua jambo lake litakuwa tu,who knows kama hao wazungu ndio wamemuua maguful,pili bila chanjo ukiingia nchi zao unawekwa karanteen kwa siku 14 hotelini kwa gharama zako,hotel ya dola 200 kwa siku,Hatimae inaelekea mtego wa mabeberu wa covid 19 utafyatuka kuinasa Serikali ya Samia.
IMF na Benki ya Dunia wako kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kuikopesha kiasi cha dola za kimarekani $571 milioni. Kiasi hicho ni takriban sawa na shilingi za kitanzania trilion 1.2. Hizo ni hela nyingi sana ambazo nchi inaenda kutiwa deni.
Kuna mtazamo duniani kote kwamba covid 19 ni ugonjwa ambao madhara yake yamekuzwa kwa kutiwa chumvi sana na mashirika na makampuni yenye ubia wa kibiashara na magonjwa yanayosambaa kwa haraka. Na kwamba ubia huu unasambaa hadi kwenye mabenki yanayomilikiwa na nchi za kibeberu.
Mabenki ya nchi tajiri ifm na beni ya dunia wanakukopesha ili ununue toka makampuni ya nchi zao.
Mkakati wao ni kuwatia walimwengu hofu na kuwatisha ili wanunue toka orodha ya chanjo madawa na vifaa ambavyo wala sio mahitaji ya lazima.
Rais Magufuli alikuwa mwangalifu na jasiri kwenye janga hili ili kuepusha nchi kuingia kwenye mkopo usio lazima na pia kusimamisha maendeleo ya kiuchumi ya nchi.
Aliweza kubaini baadhi ya njama kama vile kuwekwa data za uongo kuhusu idadi ya wagonjwa wa covid 19 na kadhalika. Pia aliwaambia hizo nchi na benki ya dunia zilizotoa ofa ya mikopo harakaharaka wafanye msaada wa bure badala ya mkopo.
Katika mazungumzo yanayoendelea inafaa serikali isiende pupa maana kuna viongozi wana maslahi ya kibinafsi huku nchi inaingizwa kwenye deni lingine kubwa pengine halihitajiki.
Utakua cheti feki.. ndio wajinga wanaojiamini😂😂Ni ushamba wenu tu na sumu aliyowapa kichaa aliekufa inafanya kazi sana kwenu, wewe una chanjo ngapi tangu utotoni?
Kwa nini wasingekuua wakati huo?
Unatumia teknolojia yao,nguo zao,mpaka chakula! Leo unaona chanjo ya korona tu? Kweli wajinga bado ni wengi mno!
YAANI WEWE SIO TISHIO KABISA KTK DUNIA,SASA MZUNGU AKUUE ILI APATE NINI?
Acha kumsikiliza kichaa aliekufa
Mzungu akiamua kukuondoa duniani ni sekundeHizo programs za population control unafikiri wanalenga nani kama siyo nyani kama wewe, unafikiri wameanza leo......jitambue mzee....
Aondoe mara ngapi wakati ndo mchezo wake miaka nenda rudi kupitia machanjo, uzazi wa mpango na matakataka kibao kupitia 'kwa hisani yaa'Mzungu akiamua kukuondoa duniani ni sekunde
Be positive,ina maana huoni umuhimu wa uzazi wa mpango,unakumbuka ukimwi kabla ya ARV ilikuwajeAondoe mara ngapi wakati ndo mchezo wake miaka nenda rudi kupitia machanjo, uzazi wa mpango na matakataka kibao kupitia 'kwa hisani yaa'
Hayo ni mazombi mkuu ni kama hayana vichwa,yanaishi kwa fikra za kichaaBe positive,ina maana huoni umuhimu wa uzazi wa mpango,unakumbuka ukimwi kabla ya ARV ilikuwaje