#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Be positive,ina maana huoni umuhimu wa uzazi wa mpango,unakumbuka ukimwi kabla ya ARV ilikuwaje
Kwa hiyo nimwabudu beberu kisa kuna magonjwa anatengeneza na kuleta madawa ya kuyafubaza.....
 
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020 wakati utawala wa Rais John Magufuli.

Tangu kifo chake mnamo tarehe 17 Machi, kiongozi mpya Samia Hassan ameashiria mabadiliko ya sera kwa kuteua timu ya ushauri juu ya jinsi ya kukabiliana na janga hilo na kuanza mchakato wa kupata chanjo. Serikali bado haijatoa takwimu halisi za ugonjwa huo.

"Uchapishaji wa data hizo zitakuwa ni sharti la kusonga mbele," alisema Jens Reinke, mwakilishi wa IMF nchini Tanzania. "Ili kuhalalisha ufadhili wa dharura katika muktadha wa janga hilo, unahitaji kuchapisha data muhimu za afya ya umma."

===

Zaidi Soma:
Tanzania needs to publish data on the spread of Covid-19 before getting approval for a $574 million emergency loan from the International Monetary Fund, the Washington-based lender said.

Reporting numbers on coronavirus infections and deaths would be an about turn for the government that hasn’t done so since May last year when then-President John Magufuli’s administration played down the threat from the disease. Since his death in March, new leader Samia Hassan has signaled a shift in policy by appointing an advisory team on how to tackle the pandemic and started a process to procure vaccines. The government hasn’t yet given numbers on the disease, though.

“Publication of such data would be a precondition of moving ahead,” said Jens Reinke, the IMF’s resident representative in Tanzania. “In order to justify emergency financing in the context of the pandemic, you need to publish relevant public-health data.”

The government first asked the IMF for a loan under its Rapid Credit Facility in March last year, he said by phone. Negotiations never progressed, and the government said last month it had revived the request.

Tanzania could access as much as $574 million given its current IMF quota, or double that if the lender’s board approves a proposed new general allocation of special drawing rights to further help countries deal with the consequences of the pandemic.

The government will make a statement on its coronavirus response once it has considered the advice from its Covid-19 technical committee, chief spokesman Gerson Msigwa said by phone.

Vulnerable Sectors​

The nation doesn’t face an immediate balance of payments crisis, so Hassan’s administration would seek to justify the request on the basis of needing to finance its response to the impact of Covid-19. Early talks have started, said Reinke.

“We are exploring ways for the financing to go toward the government response to the public-health crisis, and maybe also to support vulnerable sectors like tourism,” he said, adding that the previous government had neglected investment in other sectors like health, education, and sanitation. “The government is reaching out to not only just us to kick-start investment in that.”

Source: Bloomberg
Take that money first,then wape takwimu za uongo.

Covid-19 is a scam and propaganda.
 
Upo sahihi kabisa na sitakubali beberu na makuwadi wake waendeshe ufahamu na fikra zangu.......
Huwezi kushindana na beberu unajidanganya,unamuhitaji zaidi ya anavyokuhitaji,huna hela,huna technology,una ardhi na watu wasio na tija basi
 
Yaa, wakati mwingine unajifanya maskini jeuri ili beberu asikung'ang'anie masikio.
 
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020 wakati utawala wa Rais John Magufuli.

Tangu kifo chake mnamo tarehe 17 Machi, kiongozi mpya Samia Hassan ameashiria mabadiliko ya sera kwa kuteua timu ya ushauri juu ya jinsi ya kukabiliana na janga hilo na kuanza mchakato wa kupata chanjo. Serikali bado haijatoa takwimu halisi za ugonjwa huo.

"Uchapishaji wa data hizo zitakuwa ni sharti la kusonga mbele," alisema Jens Reinke, mwakilishi wa IMF nchini Tanzania. "Ili kuhalalisha ufadhili wa dharura katika muktadha wa janga hilo, unahitaji kuchapisha data muhimu za afya ya umma."

===

Zaidi Soma:
Tanzania needs to publish data on the spread of Covid-19 before getting approval for a $574 million emergency loan from the International Monetary Fund, the Washington-based lender said.

Reporting numbers on coronavirus infections and deaths would be an about turn for the government that hasn’t done so since May last year when then-President John Magufuli’s administration played down the threat from the disease. Since his death in March, new leader Samia Hassan has signaled a shift in policy by appointing an advisory team on how to tackle the pandemic and started a process to procure vaccines. The government hasn’t yet given numbers on the disease, though.

“Publication of such data would be a precondition of moving ahead,” said Jens Reinke, the IMF’s resident representative in Tanzania. “In order to justify emergency financing in the context of the pandemic, you need to publish relevant public-health data.”

The government first asked the IMF for a loan under its Rapid Credit Facility in March last year, he said by phone. Negotiations never progressed, and the government said last month it had revived the request.

Tanzania could access as much as $574 million given its current IMF quota, or double that if the lender’s board approves a proposed new general allocation of special drawing rights to further help countries deal with the consequences of the pandemic.

The government will make a statement on its coronavirus response once it has considered the advice from its Covid-19 technical committee, chief spokesman Gerson Msigwa said by phone.

Vulnerable Sectors​

The nation doesn’t face an immediate balance of payments crisis, so Hassan’s administration would seek to justify the request on the basis of needing to finance its response to the impact of Covid-19. Early talks have started, said Reinke.

“We are exploring ways for the financing to go toward the government response to the public-health crisis, and maybe also to support vulnerable sectors like tourism,” he said, adding that the previous government had neglected investment in other sectors like health, education, and sanitation. “The government is reaching out to not only just us to kick-start investment in that.”

Source: Bloomberg
There is no way out. The CCM government has to comply to the requirement.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mimi naona tuwape takwimu ya bupiji ngapi na fukiza plus ngapi na malimau, tangawizi,pilipili kichaa na vitunguu vilivyotumika mpaka sasa na gharama za kujenga mashine ya nyungu ndio watupatie kama msaada, ni vihela vichache tu hamna haja ya kukopeshana, au nasema uongo ndugu zangu ? 🐒🤸‍♂️🤣
Angalia usije mzimu wake ukakujia usingizini. Ukaota unakunywa naye ulanzi.
 
Yaa, wakati mwingine unajifanya maskini jeuri ili beberu asikung'ang'anie masikio.
Nyerere alikuwa na mawazo kama yako akachemsha akakimbia ikulu baada ya kwenda mtwara kukuta watu wanavaa matambara kufunika nyuchi zao kwa kukosa nguo za kuvaa
 
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020 wakati utawala wa Rais John Magufuli.

Tangu kifo chake mnamo tarehe 17 Machi, kiongozi mpya Samia Hassan ameashiria mabadiliko ya sera kwa kuteua timu ya ushauri juu ya jinsi ya kukabiliana na janga hilo na kuanza mchakato wa kupata chanjo. Serikali bado haijatoa takwimu halisi za ugonjwa huo.

"Uchapishaji wa data hizo zitakuwa ni sharti la kusonga mbele," alisema Jens Reinke, mwakilishi wa IMF nchini Tanzania. "Ili kuhalalisha ufadhili wa dharura katika muktadha wa janga hilo, unahitaji kuchapisha data muhimu za afya ya umma."

===

Zaidi Soma:
Tanzania needs to publish data on the spread of Covid-19 before getting approval for a $574 million emergency loan from the International Monetary Fund, the Washington-based lender said.

Reporting numbers on coronavirus infections and deaths would be an about turn for the government that hasn’t done so since May last year when then-President John Magufuli’s administration played down the threat from the disease. Since his death in March, new leader Samia Hassan has signaled a shift in policy by appointing an advisory team on how to tackle the pandemic and started a process to procure vaccines. The government hasn’t yet given numbers on the disease, though.

“Publication of such data would be a precondition of moving ahead,” said Jens Reinke, the IMF’s resident representative in Tanzania. “In order to justify emergency financing in the context of the pandemic, you need to publish relevant public-health data.”

The government first asked the IMF for a loan under its Rapid Credit Facility in March last year, he said by phone. Negotiations never progressed, and the government said last month it had revived the request.

Tanzania could access as much as $574 million given its current IMF quota, or double that if the lender’s board approves a proposed new general allocation of special drawing rights to further help countries deal with the consequences of the pandemic.

The government will make a statement on its coronavirus response once it has considered the advice from its Covid-19 technical committee, chief spokesman Gerson Msigwa said by phone.

Vulnerable Sectors​

The nation doesn’t face an immediate balance of payments crisis, so Hassan’s administration would seek to justify the request on the basis of needing to finance its response to the impact of Covid-19. Early talks have started, said Reinke.

“We are exploring ways for the financing to go toward the government response to the public-health crisis, and maybe also to support vulnerable sectors like tourism,” he said, adding that the previous government had neglected investment in other sectors like health, education, and sanitation. “The government is reaching out to not only just us to kick-start investment in that.”

Source: Bloomberg
Nayule mkuu wa mkoa wa shinyanga amesema mambo si yakutisha kivile
 
Tumefinywa kidogo ngoja tuone tutakavyorukaa😂😂😂😂😂

Na pesa tunaitaka! Elimu yetu haipo sawa Na mfumo dume wa Mkoloni wa ulimwengu.

Hatufundishwi jinsi ya kumjibu Mzungu na kuachana Na ujinga wake.

Leo hii China hawataki kutoa ushirikiano kwa W.H.O lkn hatusikii lawama nyingi kama tunavyolalamikiwa sisi.
Kwani China ni ombaomba kama nyie, mlikataa mkasema Corona imemalizwa kwa maombi sasa ina maana leo mmemuasi Mungu. Hamna tena maombi kwa nini tusiendelee na maombi kwa kuchanganya kidogo na nyungu.
 
Hii mikopo mikopo enzi za jiwe tulishasahau..huyu mama anatuzingua.
Acha ukichaa wewe! Kama tulisahau ilikuwaje deni la taifa likaongezeka kutoka trillions 50+ hadi trillions 7+?

Una akili ndogo kama marehemu jiwe
 
Hao hawajawahi kuacha kuchomoka au unataka kusema sasa hivi biashara ya majeneza inalipa kuliko zamani?

Ndio, usiwe mbishi nenda hospital za serikali ndio utajua corona ipo au haipo.. wagonjwa wanaishiwa adi mitungi ya gesi wewe unadhani utani! Nikusikilize wewe au daktari aliesema wagonjwa wa corona ni wengi, na wengine hufariki!!

Wabongo acheni ubishi bwana
 
Back
Top Bottom