#COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

Sio viongozi tuu mpaka wananchi wake hawaamini kama hawawezi kuishi bila msaada...akili zimebinywa kila kona.
 
Hatuna, tafuta wewe za kwako..
 
Ndio maana ya hizi barakoa. Ila tusifanye lockdown. We will kill each other for no good reason
 
Vimeumanaaaaaa!!!!! KIBRI kwenye Jumuiya ya Kimataifa HAIKUHUSU KITU!!!! Matrilioni ya BEBERUS hayooooooo yameyeyuka.
 
Huyu mama kayataka mwenyewe haya sasa watamwambia aweke kwanza lock down ndo wampe hela. Mama kusanya kodi achana na hao we unaona mwenzako alikupuka ama vipi
Na baada ya lockdown watamwambia aruhusu wanaume kuzibuliwa makalio ndio apewe mkopo.., utter nonsese..!!
 
Mama tuvushe watanzania kwani hatupo kisiwa,Tumelia sana kwa maamuzi ya utawala wa masikini Jeuri. Usiturudishe Misri, enough is enough tuunganishe na ulimwengu. mama out trust is in you...Regards.
Akili za kutawaliwa, inashangaza.
 
Uzuri @mwigulunchemba
yuko wizara kitengo kabisa
 
Daktar mmoja alisema kati ya vitanda vinne vyenye wagonjwa ni kimoja tu chenye mgonjwa ikiwa watatibia saikolojia, akili inatengeneza tatzo hata pasipo na tatzo.
 
kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa.
Tangu lini mkopo ukawa ni msaada! Yaani tukope pesa ya kununua barakoa, ppe, pcr, vichokonoa pua, chanjo za astrazeneca etc? Covid -19 ni ugonjwa tutakaodumu nao milele kama tulivyodumu na hiv - sasa dharura inatoka wapi?

Kama kweli wanatupenda watusaidie bure na si kutufanyia biashara ya mikopo.
 
Kumbe, kasi ya Tanzania inaleta maswali. Hizo pesa hazihitajiki au hazitakiwi?

Tanzania Must Publish Covid-19 Data to Unlock IMF Emergency Loan​

Matthew Hill, Fumbuka Ng'Wanakilala

Tanzania needs to publish data on the spread of Covid-19 before getting approval for a $574 million emergency loan from the International Monetary Fund, the Washington-based lender said.

Reporting numbers on coronavirus infections and deaths would be an about turn for the government that hasn’t done so since May last year when then-President John Magufuli’s administration played down the threat from the disease. Since his death in March, new leader Samia Hassan has signaled a shift in policy by appointing an advisory team on how to tackle the pandemic and started a process to procure vaccines. The government hasn’t yet given numbers on the disease, though.

“Publication of such data would be a precondition of moving ahead,” said Jens Reinke, the IMF’s resident representative in Tanzania. “In order to justify emergency financing in the context of the pandemic, you need to publish relevant public-health data.”

The government first asked the IMF for a loan under its Rapid Credit Facility in March last year, he said by phone. Negotiations never progressed, and the government said last month it had revived the request.

Tanzania could access as much as $574 million given its current IMF quota, or double that if the lender’s board approves a proposed new general allocation of special drawing rights to further help countries deal with the consequences of the pandemic.

The government will make a statement on its coronavirus response once it has considered the advice from its Covid-19 technical committee, chief spokesman Gerson Msigwa said by phone.
(Chanzo: Bloomberg - Are you a robot?)
 
Si waandike tu hata kila siku watu laki wanaripotiwa na kulikava wote, through Marathon. Maana zipo tele
 
Acha ujinga, Hayo mariport yanazua taharuki kwa wananchi amani tuliyonayo sasa hivi juu ya corona ni kutokuwa na taharuki
Ukiambiwa kuwa UNAUGUA (UNAUMWA) KWA KIASI GANI ILI UPATE MATIBABU,

KWAKO NI TAHARUKI?
 
Bloomberg News wanadanganyana na watu wao kuhusu Tanzania.

Aya ya mwisho inasema mwaka jana Tanzania haikuwekeza kwenye elimu, afya wala kuzoa taka taka mabarabarani!

Ubeberu na propaganda zake bado upo, ndio kama hivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…