IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Hata marekani wanakopa.ila unajua matumizi ya FEDHA wanayokopa?mikataba wanayoingia wakati wanakopa unaijua?kuna akili ya ziada kwenye kukopa la sivyo utauziwa nyumba.
 
Ukubwa wa deni unaendana na kipato chako, mimi ukinikopesha sh.laki moja tutakuwa tunatafutana uadui, kwangu ni deni kubwa lakini kwako si deni.
Wanataka tuwe na deni sawa na wasouth Afrika au egypt.anaujua uchumi WA South au Egypt?basi hata hapa bongo lofa angekuwa anakopesheka kwa mabenki Sawa na BAKHRESA.
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Ni wafuasi wa mwendazake,usitusingizie wote 😂
 
Wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mikopo.
Unatembea na fari ya kiyoyozi saa 24/7 na nyumba ya serikali posho za vikao na kadha wa kadha kwa kodi zetu.
Hayo unayoyafanya jaribu kuyafanya kwa wiki mbili kwa pesa ya jasho lako tuone kama hujatembea barabarani ukiongea mwenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Labda kwa sababu wale wanazidhibiti sana pesa za mkopo kwa kuelekezwa mahali panapostahili na palipokusudiwa !!
Sisi tunaweza tukampa kazi ngumu zaidi CAG tukikopa sana !!
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Kukopa siyo kuchukua hela, kuna vigezo wanaangalia una nini chanzo cha kulipa.
Nchi inauza bandari na ardhi ndo mkopeshwe sawa na matajiri?
 
Mkuu unakopeshwa kutokana na uchumi wako ulivyo .

Tz haiwezi kuwa na vigezo sawa na misri mbele ya mashirika ya fedha duniani
Tunisia,Ghana na DRC Wana uchumi gani kuizidi Tanzania?

Uoga tuu wa kijinga au siasa zisizotabirika.
 
Ili tukuelewe vizuri, ungelibaisha mkopo tulionao na miradi mingapi inayoendelea kupitia mikopo hiyo, upotevu wa fedha zinazotokana na mikopo hiyo, na mwisho, Je miradi inayofadhiliwa na mikopo hiyo itaisha lini na faida yake ni kiasi gani baada ya kukamilika

Unashauri kwamba, Ni bora nasi Tuendelee kukopa, tupeleke kwenye miradi gani itayotupatia faida?

Bandari zetu tumejiridhisha wenyewe kwamba, hata tukiziboresha kwa kiwango cha flyover hatuwezi kuziendesha sisi, maana akili zetu zipo ili tuibe na kuhujumu miradi

Unataka tukakope tuzipeleke wapi?
 
Tunakopa ili zitusaidie kufanya maendeleo,
 
Ok

Tuendeleee kukopa tu au siyo

Maana tuko vizuri bado

Ova
Usihamishe goli- wewe na wenzako mlitaka ktumiamisha kuwa
1. sisi ndio nchi pekee tunaokopa
2. tumekopa kupitiliza
 
Hawa CHADEMA hii deni la Taifa walilitumia kama fimbo yao dhidi ya Serikali kwa muda mrefu
 
Mtakopa halafu hao hao ndio waizi wakubwa
Sasa mikopo ya nini kama transfoma zinaishia kuwa chuma chakavu
Tangu muwe na umeme ni kama hamna umeme tu
Ni nchi ambayo watu wake umeme ukirudi wanashangilia wakati wamelipia mpaka service charge wa hewa

Yaani unakopa eti unafanyia miundo mbinu halafu hizo hizo hela zinaenda kwa watu binafsi
Hivi mnategemea hela za maafa kutoka kwa wasamaria wema zitawanufaisha na zote kufika manyara?

Nilisema mabalozi watatoa hela ila zinaenda wapi?
Unapewa bure unakula za mkopo utaziacha?
 
Hivi IMF inapata wapi hela ya kukopesha nchi wakati haina hata ardhi zaidi ya jengo lake la benki tu?.

Yaani nchi zote hizi zinapewa mkopo na benki isio na rasilimali yoyote ile.
 
Back
Top Bottom