Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Kukopa sio sifa,waulize Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanyaje? Kutokukopa wakati huna uwezo wa kufungua uchumi ni ujinga.Kukopa sio sifa,waulize Kenya
Hata marekani wanakopa.ila unajua matumizi ya FEDHA wanayokopa?mikataba wanayoingia wakati wanakopa unaijua?kuna akili ya ziada kwenye kukopa la sivyo utauziwa nyumba.
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Wanataka tuwe na deni sawa na wasouth Afrika au egypt.anaujua uchumi WA South au Egypt?basi hata hapa bongo lofa angekuwa anakopesheka kwa mabenki Sawa na BAKHRESA.Ukubwa wa deni unaendana na kipato chako, mimi ukinikopesha sh.laki moja tutakuwa tunatafutana uadui, kwangu ni deni kubwa lakini kwako si deni.
Ni wafuasi wa mwendazake,usitusingizie wote 😂
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mikopo.

Labda kwa sababu wale wanazidhibiti sana pesa za mkopo kwa kuelekezwa mahali panapostahili na palipokusudiwa !!

Mkuu unakopeshwa kutokana na uchumi wako ulivyo .Tanzania tuna uoga wa kijinga
Kukopa siyo kuchukua hela, kuna vigezo wanaangalia una nini chanzo cha kulipa.
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Tunisia,Ghana na DRC Wana uchumi gani kuizidi Tanzania?Mkuu unakopeshwa kutokana na uchumi wako ulivyo .
Tz haiwezi kuwa na vigezo sawa na misri mbele ya mashirika ya fedha duniani
Tunakopa ili zitusaidie kufanya maendeleo,Ili tukuelewe vizuri, ungelibaisha mkopo tulionao na miradi mingapi inayoendelea kupitia mikopo hiyo, upotevu wa fedha zinazotokana na mikopo hiyo, na mwisho, Je miradi inayofadhiliwa na mikopo hiyo itaisha lini na faida yake ni kiasi gani baada ya kukamilika
Unashauri kwamba, Ni bora nasi Tuendelee kukopa, tupeleke kwenye miradi gani itayotupatia faida?
Bandari zetu tumejiridhisha wenyewe kwamba, hata tukiziboresha kwa kiwango cha flyover hatuwezi kuziendesha sisi, maana akili zetu zipo ili tuibe na kuhujumu miradi
Unataka tukakope tuzipeleke wapi?
Usihamishe goli- wewe na wenzako mlitaka ktumiamisha kuwaOk
Tuendeleee kukopa tu au siyo
Maana tuko vizuri bado
Ova
Hawa CHADEMA hii deni la Taifa walilitumia kama fimbo yao dhidi ya Serikali kwa muda mrefuUsihamishe goli- wewe na wenzako mlitaka ktumiamisha kuwa
1. sisi ndio nchi pekee tunaokopa
2. tumekopa kupitiliza