Hayo "matundu ya choo" yangejengwa mi ningekuwa mshangiliaji namba moja wa hiyo mikopo ya IMF. Lakini matundu siyaoni popote!Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo "matundu ya choo" yangejengwa mi ningekuwa mshangiliaji namba moja wa hiyo mikopo ya IMF. Lakini matundu siyaoni popote!Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Hujawahi kusikia mshika dhamana mkuu wa hilo shirika ni nani? Uwepo wake hapo unaposema jengo lao lipo, ulidhani ni kwa bahati mbaya?Yaani nchi zote hizi zinapewa mkopo na benki isio na rasilimali yoyote ile.
Duh!Tanzania ni nchi ya ajabu sana eti kukopa ni kuuza nchi, ila Leo kwa andiko hili umewaweza mkuu CM 1774858
Tatizo siyo kukopa!
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )
Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,
Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Tanzania lazima tufungue macho na akiliKwani sisi ni zaidi ya Nigeria kiuchumi au tunawazidi ujinga tu?
Tunajifariji kwa lipi?Kimsingi mnajifariji tu.
Hizo nchi 10 zote zilizotajwa niambie ipi Tanzania inaizidi kiuchumi?
Swali hulioni hapo chawa wa Samia ??Tunajifariji kwa lipi?
Kwani ni IMF peke yake huwa tunakopa?
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )
Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,
Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Nadhani tusiogope kukopa,Kwa hiyo ujumbe wako ni upi kwetu ?
""KUNA KIMA ZINASEMAGA TANZANIA INA MADEMI MAKUBWA SANA ETI NCHI ITAUZWA HII""

Kadeni kitu ni Trilion around 65-85 TSHS, which is so little, UKIKONVERT KATIKA DOLA NDIO VINAKUJA VISENTI KIDUCHU.Unajua ujinga wako ni nini? Kufikikiria kukopa ni lazima ukope IMF.
Unajua deni jumla la Tanzania huko duniani ni ngapi?
🤣Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Ww huwajui IMF kaa kimya na usishangilie vitu vya kipumbavu.
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )
Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,
Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
😄😁😀😀😅😃Kenya wakamatwe
Tuliomba tukanyimwa?,Ww huwajui IMF kaa kimya na usishangilie vitu vya kipumbavu.