IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Hayo "matundu ya choo" yangejengwa mi ningekuwa mshangiliaji namba moja wa hiyo mikopo ya IMF. Lakini matundu siyaoni popote!
 
Yaani nchi zote hizi zinapewa mkopo na benki isio na rasilimali yoyote ile.
Hujawahi kusikia mshika dhamana mkuu wa hilo shirika ni nani? Uwepo wake hapo unaposema jengo lao lipo, ulidhani ni kwa bahati mbaya?
Hebu kaombe kazi ya Ukurugenzi wa shirika hilo; halafu usitembee kwa magoti kuwalilia wadhamini kama kazi hiyo utapewa wewe kapuku!

Bila shaka sasa unajuwa pesa inatoka wapi. Ni michango ya wanachama, wasiokuwa na hadhi sawa ndani ya shirika lenyewe.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana eti kukopa ni kuuza nchi, ila Leo kwa andiko hili umewaweza mkuu CM 1774858
Duh!
Mkuu, nina hakika hata wewe unayo mahitaji yanayokutaka uyatimize, lakini hujafanya hivyo kwa kukosa nyenzo. Nakuhimiza kesho wahi NBC ukapate mkopo wako kirahisi kabisa.

Mawazo ya aina ya haya uliyoweka hapa yanaonyesha kutokuwa na ufahamu wa jambo unalohimiza Tanzania ilifanye!
 
Nini tofauti ya WB na IMF

WB source kubwa ya hela zao ni nchi tajiri wana peleka hela huko na kutoa masharti hizo hela zimetumike kwenye project zipi za kusaidia uchumi au maendeleo ya jamii kwa malipo ya riba ndogo. Nchi maskini ikizidiwa sana na madeni waliotoa hela (nchi tajiri) wanaweza punguza riba, kuongeza muda wa kulipa au kusamehe kabisa.

Whereas source kubwa ya IMF funding ni money markets (banks, wealth investors, mutual funds, etc) na mikopo yake mingi ni short term, riba inategemea na default risk ya nchi (kwa third world ni high) na hawa watu hawajui kusamehe deni, ukishindwa kulipa solution yao ni restructuring na economic adjustment policies muhimu ni urudishe deni, kabla ya kukopwa wanafanya highly due diligence on stress test kujiridhisha (measure include ukaguliwe na ‘credit rating agency’ Kama Fitch) sasa usishangae walialikwa Tanzania ukadhani serikali ina hela za mchezo si ajabu ni condition walizopewa na IMF.

This is why sio rahisi sana kupata mikopo ya IMF, vinginevyo Tanzania ingekuwa imeshakopa billion of dollars huko; ni kwamba access ya hiyo mikopo sio rahisi vile kama tunavyodhani.
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )

Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,

Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Tatizo siyo kukopa!
Tatizo ni upotevu wa fedha hizo baada ya kuingia kwenye mikono ya CCM!
Tatizo ni ubadhirifu uliokithiri huko Serikalini!
Tatizo ni ufisadi uliokubuhu kwa viongozi wetu!
Hao magwiji uliowataja nchi zao haziwadekezi mafisadi?

Mwizi hukatwa mikono!

Je!
Tanzania mwizi si ndie anaitwa mheshimiwa?

TUANZIE HAPO?
Mnataka mama yenu akaombe mikopo ili nyinyi wezi muendelee kuiba na kutuachia mizigo ya madeni na Tozo sisi kina kalagha Bhaho?
Tangu tumekopa ni nini kinachofanyika mpaka sasa au kukamilika na kuonyesha tija yake hapa nchini?

Mfano
SGR Bado inasuasua!
JNHP Bado inasuasua!
Bandari tulikopa tukaiboresha na kisha sasa CCM na genge lake mmeiuza kwa mwarabu!

CCM ni Pamya Road wavaa Tai Suti.
 
Kimsingi mnajifariji tu.

Hizo nchi 10 zote zilizotajwa niambie ipi Tanzania inaizidi kiuchumi?
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )

Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,

Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Kwani ni IMF peke yake huwa tunakopa?

That is just one avenue if I’m not mistaken.

Sehemu za serikali kukopa siyo huko peke yake. Leta taarifa kamili.
 
Kwa hiyo ujumbe wako ni upi kwetu ?
 
Unajua ujinga wako ni nini? Kufikikiria kukopa ni lazima ukope IMF.

Unajua deni jumla la Tanzania huko duniani ni ngapi?
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )

Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,

Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
""KUNA KIMA ZINASEMAGA TANZANIA INA MADEMI MAKUBWA SANA ETI NCHI ITAUZWA HII""
 
Unajua ujinga wako ni nini? Kufikikiria kukopa ni lazima ukope IMF.

Unajua deni jumla la Tanzania huko duniani ni ngapi?
Kadeni kitu ni Trilion around 65-85 TSHS, which is so little, UKIKONVERT KATIKA DOLA NDIO VINAKUJA VISENTI KIDUCHU.
 
RankCountryDebt amount
1.Egypt$11,968,321,674
2.Angola$3,153,816,667
3.South Africa$2,669,800,000
4.Côte d'Ivoire$2,117,559,620
5.Kenya$2,058,982,100
6.Nigeria$1,840,875,000
7.Ghana$1,644,377,000
8.Morocco$1,499,800,000
9Democratic Republic of Congo$1,294,500,000
.10.Tunisia$1,259,139,338

======

Hii ndio orodha ya nchi 10 za Africa zenye deni kubwa zaidi huko Shirika la Fedha Duniani ( IMF )

Kwa msiofahamu, Nchi Tisa kati ya kumi ndio nchi zinazoshikilia uchumi wote wa Africa,

Hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF kutoka bara la Africa tena kwa riba kiduchu ambayo ni chini ya asilimia moja tena kwa muda wa miaka 15.

Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.

Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?

Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.

Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.

Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.

Kazi iendelee.
Ww huwajui IMF kaa kimya na usishangilie vitu vya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom