Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yenu huwa mnashinda kuangalia pono badala ya kufuatilia Bunge na mipango ya Serikali..Mikopo, Mikopo, Mikopo, Mikopo.
Mwaka mmoja na miezi mitatu mmeshakopa zaidi ya Trilioni 20, Kasi mbona kubwa Sana?
Bunge mbona halishirikishwi juu ya Mikopo hiyo? Anaamka waziri ni kukopa tu.
Pesa Huwa haitoshi, Punguza matumizi ya Serikali ni MAKUBWA mno.
Tunataka iandikwe KATIBA mpya itokanayo na RASIMU ya Judge WARIOBA.
Pawepo na kundi la Professionals waliobobea ktk masuala ya Uchumi na fedha watakaokuwa HURU, wafanye maamuzi ya kuishauri Bunge na Serikali juu ya faida, hasara na alternative za Mikopo Kwa Nchi.
Ameeeen.
Una uhakika? TRA wako Zanzibar kwa ajili gani?Wazenji nao wanataka mgao..ila wakiambiwa kulipa wanatishia kuvunja muungano.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kufeni tuuMaweeee twafaaa
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa ya IMF inaeleza kuwa, vita hiyo inakwamisha Uchumi wa Tanzania kuimarika kufuatia mlipuko wa COVID-19, hivyo kuleta changamoto zaidi katika Maendeleo.
Tanzania ilishapokea Mkopo wa Dola Milioni 567 mwishoni mwa 2021 ili kukidhi mahitaji yake ya dharura wakati Mlipuko wa Virusi vya Corona ulipoathiri Maendeleo ya Kiuchumi, hususan Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa
=========
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.
"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.
As a result, the fund's experts believe that the African country will need help to carry out reforms and "unleash its economic potential."
Tanzania is to immediately receive the equivalent of $151.7 million. It had already received a loan of $567 million at the end of 2021 to meet its most urgent needs, when the Covid-19 pandemic had severely hampered its economic development, particularly in the tourism sector.
The war in Ukraine has caused food and fuel prices to soar worldwide, and the rise in wheat prices is "particularly worrying," said the IMF in a recent report entitled "A new shock and little room for maneuver," because sub-Saharan Africa imports 85 percent of its cereal consumption, with particularly high amounts going to Tanzania, Ivory Coast, Senegal and Mozambique.
The project that was announced on Monday, which is part of the Extended Credit Facility (ECF), should help finance reforms to improve Tanzania's financial stability, carry out public investments and support the private sector.
"Recognizing Tanzania's strong track record in reform implementation, directors supported the authorities' requests for an ECF arrangement to meet pressing financing needs," said Bo Li, an IMF official quoted in the statement.
Among other objectives, he also mentioned the importance of continuing vaccination campaigns on a larger scale
Source >>> IMF greenlights $1 bn loan to Tanzania
Mungu ndio analipa madeni? Acha utaahira.. Serikali haikurupuki kama nyie wajinga.Tuombe Mungu tusije kufika kushindwa kulipa madeni
Nchi yangu TANZANIA ni TAJIRI.Shida yenu huwa mnashinda kuangalia pono badala ya kufuatilia Bunge na mipango ya Serikali..
Saizi Wizara mbalimbali huwa zonatoa summary ya mafanikio na mipango yao ya utekelezaji hamfuatilii ila mkipewa data za mafanikio Kazi yenu ni kupinga..
Unatakiwa uelewe kwamba hakuna mkopo ambao serikali inakopa uko nje ya mipango.Ndio maana mwaka ujao serikali inatakiwa Kukopa Til.7 mwaka ujao na moja wapo ya hizo pesa ndio hizi wanatafuta..
Kazi ya Wizara ya fedha ni kutafuta pesa kama zilivyopitishwa na Bunge..
Ikitokea kuna mkopo mpya au kuna pesa itapatikana Nje ya Mpango lazima waitishe Bunge kwa ajili ya supplementary budget kama ilivyofangika pesa ya uviko.
Rubbish, endelea kutaka.Nchi yangu TANZANIA ni TAJIRI.
Nataka kusikia ikikopesha mataifa mengine.
Nataka kusikia dhahabu, almasi na madini mengine Nchi ikiingia ubia na kupata 80% na mwekezaji alipata 20%.
Nataka kusikia Nchi yangu ikiilisha Africa nzima Kwa chakula, mapato ya ndani yasaidie kilimo Cha kisasa.
Nataka kusikia matumizi ya Serikali yakipungua na wakikipa Kodi.
Nataka kusikia ELIMU ya shule za selikali ikiwa Bora kuliko itolewayo na sekta binafsi kama enzi za mwl Nyerere.
Kaaahh huyu mama ana laanaBodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa ya IMF inaeleza kuwa, vita hiyo inakwamisha Uchumi wa Tanzania kuimarika kufuatia mlipuko wa COVID-19, hivyo kuleta changamoto zaidi katika Maendeleo.
Tanzania ilishapokea Mkopo wa Dola Milioni 567 mwishoni mwa 2021 ili kukidhi mahitaji yake ya dharura wakati Mlipuko wa Virusi vya Corona ulipoathiri Maendeleo ya Kiuchumi, hususan Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa
=========
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.
"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.
As a result, the fund's experts believe that the African country will need help to carry out reforms and "unleash its economic potential."
Tanzania is to immediately receive the equivalent of $151.7 million. It had already received a loan of $567 million at the end of 2021 to meet its most urgent needs, when the Covid-19 pandemic had severely hampered its economic development, particularly in the tourism sector.
The war in Ukraine has caused food and fuel prices to soar worldwide, and the rise in wheat prices is "particularly worrying," said the IMF in a recent report entitled "A new shock and little room for maneuver," because sub-Saharan Africa imports 85 percent of its cereal consumption, with particularly high amounts going to Tanzania, Ivory Coast, Senegal and Mozambique.
The project that was announced on Monday, which is part of the Extended Credit Facility (ECF), should help finance reforms to improve Tanzania's financial stability, carry out public investments and support the private sector.
"Recognizing Tanzania's strong track record in reform implementation, directors supported the authorities' requests for an ECF arrangement to meet pressing financing needs," said Bo Li, an IMF official quoted in the statement.
Among other objectives, he also mentioned the importance of continuing vaccination campaigns on a larger scale
Source >>> IMF greenlights $1 bn loan to Tanzania
Avunje mara ngapi ? Haya ndiyo madhara ya kuongozwa na mwanamke tena zuzu ....KWAKE SA100 UZALENDO NI MAFIIHakika tunakopa, tena kwa spidi ya kutisha, nina hakika Samia anaenda kuvunja rekodi zote za watangulizi wake.
Nikwambie kitu: Watazitoa kwa miezi 40 kwa kuwa mkopo huo ni mtego pia!! Watataka tukubaliane na mambo fulani fulani. Mkopo wenyewe unadai ni wa kufidia athari za vita vya urusi na Ukraine! Hapo ujue kabisa kutakuwa na sharti la kuilaani Urusi vinginevyo watatishia kuzuia mkopo! Wanaanza kwa kukulambisha kwanza kwa dola milioni 151.7 ili usikilizie utamu wake!! Ili sasa watakapokuwa wanatishia uwe unakumbukia utamu ulioonjeshwa!! Pili pamoja na kutakiwa kuilaani urusi kwa uvamizi wake kwa ukraine, watatutaka tuunge mkono vikwazo vya kiuchumi kwa urusi!! Kwa maneno mengine mkopo huu unaenda kutunyang'anya uhuru wetu!. Na mwisho tukitia ngumu tutatishiwa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wenyewe!! Huwezi ukaonjeshwa pesa ya beberu halafu ujifanye kichwa ngumu!! Tumejiweka kwenye hali ngumu sana!!Safi sana,pesa nyingine inakuja kwa ajili ya miradi kama ile ya uviko 19..
Mama alisema wamalize haraka miradi pesa nyingine nyingi inakuja..
Ila nao wanazingua badala watoe zote wao wanasema Kwa miezi 40 sasa ndio nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka kujibu kila koment..Kufeni tuu
Sijawahi teseka Mzee yaani mimi.kujibu komenti ndio Kazi yangu Sasa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka kujibu kila koment..
Uchawa wako hautakuondolea umasikini kwenye ukoo wako
Vita ya Ukraine tena😀🤷♀️Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.