Shida yenu huwa mnashinda kuangalia pono badala ya kufuatilia Bunge na mipango ya Serikali..

Saizi Wizara mbalimbali huwa zonatoa summary ya mafanikio na mipango yao ya utekelezaji hamfuatilii ila mkipewa data za mafanikio Kazi yenu ni kupinga..

Unatakiwa uelewe kwamba hakuna mkopo ambao serikali inakopa uko nje ya mipango.Ndio maana mwaka ujao serikali inatakiwa Kukopa Til.7 mwaka ujao na moja wapo ya hizo pesa ndio hizi wanatafuta..

Kazi ya Wizara ya fedha ni kutafuta pesa kama zilivyopitishwa na Bunge..

Ikitokea kuna mkopo mpya au kuna pesa itapatikana Nje ya Mpango lazima waitishe Bunge kwa ajili ya supplementary budget kama ilivyofangika pesa ya uviko.
 


Tuombe Mungu tusije kufika kushindwa kulipa madeni
 
Nchi yangu TANZANIA ni TAJIRI.

Nataka kusikia ikikopesha mataifa mengine.

Nataka kusikia dhahabu, almasi na madini mengine Nchi ikiingia ubia na kupata 80% na mwekezaji alipata 20%.

Nataka kusikia Nchi yangu ikiilisha Africa nzima Kwa chakula, mapato ya ndani yasaidie kilimo Cha kisasa.

Nataka kusikia matumizi ya Serikali yakipungua na wakikipa Kodi.

Nataka kusikia ELIMU ya shule za selikali ikiwa Bora kuliko itolewayo na sekta binafsi kama enzi za mwl Nyerere.
 
Rubbish, endelea kutaka.
 
Wakati mkifurahia hii mikopo mkumbuke kuwa wanufaika wake ni kundi Dogo au tabaka fulani tu.

Sisi wengine wajibu wetu utaendelea kuwa Ulipaji wa hiyo mikopo hadi wajukuu zetu.

Ulipaji kodi.
Ulipaji Tozo.
Upigaji Kura.

Basi.......

Endeleeni kuupiga mwingi ila muelewe chanzo cha kupoteza uhuru wa kujiamlia mambo yetu kitaifa.
Ni pale tutakapoelemewa na madeni hayo.

Nchi haiwezi kujikwamua kimaendeleo kutokana na mikopo ya Kimataifa.

Hata Sri Lanka [emoji1224] walianza hivi hivi.
 
Kaaahh huyu mama ana laana
 
Hakika tunakopa, tena kwa spidi ya kutisha, nina hakika Samia anaenda kuvunja rekodi zote za watangulizi wake.
Avunje mara ngapi ? Haya ndiyo madhara ya kuongozwa na mwanamke tena zuzu ....KWAKE SA100 UZALENDO NI MAFII
Serikali imeshinda kulipa nyongeza ya mishahara sasa wanategemea mikopo
 
Safi sana,pesa nyingine inakuja kwa ajili ya miradi kama ile ya uviko 19..

Mama alisema wamalize haraka miradi pesa nyingine nyingi inakuja..

Ila nao wanazingua badala watoe zote wao wanasema Kwa miezi 40 sasa ndio nini?
Nikwambie kitu: Watazitoa kwa miezi 40 kwa kuwa mkopo huo ni mtego pia!! Watataka tukubaliane na mambo fulani fulani. Mkopo wenyewe unadai ni wa kufidia athari za vita vya urusi na Ukraine! Hapo ujue kabisa kutakuwa na sharti la kuilaani Urusi vinginevyo watatishia kuzuia mkopo! Wanaanza kwa kukulambisha kwanza kwa dola milioni 151.7 ili usikilizie utamu wake!! Ili sasa watakapokuwa wanatishia uwe unakumbukia utamu ulioonjeshwa!! Pili pamoja na kutakiwa kuilaani urusi kwa uvamizi wake kwa ukraine, watatutaka tuunge mkono vikwazo vya kiuchumi kwa urusi!! Kwa maneno mengine mkopo huu unaenda kutunyang'anya uhuru wetu!. Na mwisho tukitia ngumu tutatishiwa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi wenyewe!! Huwezi ukaonjeshwa pesa ya beberu halafu ujifanye kichwa ngumu!! Tumejiweka kwenye hali ngumu sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka kujibu kila koment..

Uchawa wako hautakuondolea umasikini kwenye ukoo wako
Sijawahi teseka Mzee yaani mimi.kujibu komenti ndio Kazi yangu Sasa..

So wewe ndio endelea kuteseka na Kazi nzuri ya SSH.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-115541.png
    150.9 KB · Views: 5
Vita ya Ukraine tena😀🤷‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…