Ccm ni janga la kitaifa
 
Huyu mama ana akili sana. Ukitaka kujenga hii nchi lazima ukope sanaa watakuja kulipa wajukuu baada ya maendeleo kupatikana huko mbele.
Soma tena malengo ya mkopo utueleze ni maendeleo gani yanaweza kuletwa na huo mkopo.
 
" Imaging the entire economy of the state is placed on betting table. This can put it in vulnerable position and unable to negotiate anything but their survival".

"Kuna siku nchi hii itajapigwa mnada" - Job Ndugai.
 
Hivi shule bado hazijafunguliwa? Kuna mijinga humu iende shule ikapunguze ujinga angalau robo aisee!
Kodi hutaki kulipa, tozo hutaki kulipa, halafu unataka maji, hospitali na Kila kitu, Kila siku unalia Lia mitandaoni ukitaka maendeleo, acha mama akope
 
Soma tena malengo ya mkopo utueleze ni maendeleo gani yanaweza kuletwa na huo mkopo.
Nenda Chato ukazikwe naye, mlitarajia mle awamu ya pili ya uongozi wake, Mungu naye akamuwahi
 
" Imaging the entire economy of the state is placed on betting table. This can put it in vulnerable position and unable to negotiate anything but their survival".

"Kuna siku nchi hii itajapigwa mnada" - Job Ndugai.
Hatuna tofauti na mlevi anayekopa kwenda kununua pombe.
 
Nenda Chato ukazikwe naye, mlitarajia mle awamu ya pili ya uongozi wake, Mungu naye akamuwahi
Kwani ile id yako ya chinembe vipi?

Magu aliwabutua akawachia makovu kima nyie
 
Risk of debt distress from Low to moderate maana yake nini?
Wachumi naomba ufafanuzi.
 
Kodi hutaki kulipa, tozo hutaki kulipa, halafu unataka maji, hospitali na Kila kitu, Kila siku unalia Lia mitandaoni ukitaka maendeleo, acha mama akope
Kwahio Tozo haIkatwi watu wamegoma? Kodi si nasikia inakusanywa nyingi kuliko kipindi cha JPM vipi tena unasema hawataki kulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…