Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Kenya ni loan!!Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?
Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Kwanini hajamtaarifu Mbowe kuwa nyumbani kwake kuna washambuliaji ili awaeopuke?Hii maana yake kigogo is more resourceful in terms of providing valid secret document from the govt.
Duh.. Umeandika gazeti tena kwa uchungu mkubwa! Yani hapo roho inakuuma sanaHawa IMF wangesema tu kuwa wamekataa kuisaidia Tanzania.
Ni wenye Catastrophe Containment and Relief Trust nchi zimepewa msaada na mikopo ya mabilioni ya shilingi kama sio matrilioni sisi tunakuja kupewa bilioni 28?
Ukisoma barua ya serikali kuomba huo msaada ilielezea kwa uchungu sana kuwa hali ni mbaya sana tena kuanzia July 2020 inahitaji msaada wa haraka sana kuokoa uchumi.
Jambo la kushangaza imf wanatupatia bilioni 28 tu? Hizi si hata Mo angetupatia tu.
Eu imeipatia Kenya pesa za bure Billioni zaidi ya 750 za kitanzania sisi tunapewa na IMF bilioni 28?.
Hebu turudi kwenye sense kidogo. Hivi serikali iliwaza nini kuandika barua kuomba msaada wakati wanajua kabisa hawakufuata hata sharti moja la kupewa msaada? Au walijua watawadanganya imf na watakubali?
Au serikali wanafikiri wazungu hawajui kinachoendelea hapa nchini? Wewe ulishasema corona haipo halafu unaandika barua kuomba msaada usaidiwe kupambana na corona, corona ipi?
Toka corona iamze hii ni barua ya 4 serikali inaandika kwa wanaoitwa mabeberu ambao hawatupangii chochote kuwaomba hela lakini zote zinagonga mwamba.
Ya kwanza serikali iliomba Dollar millioni 198 mwezi February, ikakakosa, ya pili ni mwezi March tuliomba kusamehewa kulipa madeni huku tumedanganya idadi halisi ya madeni yetu kwa zaidi ya Trillion 6. Tukanyimwa kwa uongo.
Barua ya tatu tukaandika IMF kua tumetumia Dollar 372 Millioni kusamehe kodi ya VAT kwa makampuni yanayoingiza vifaa vya kupambana na corona na kusaidia biashara ndogo ndogo zisiathirike na Dollar 302 Millioni ya kununua vifaa vya kupambana na corona. Tukakosa kwa kusema uongo.
Ya nne ndio hii tumepewa billioni 28. Naamini serikali hawatakata tamaa. Wataandika nyingine tena ya 5.
Mimi nimeona blillion wewe unasema milioni sasa sijui nini kiko sawa?Ni USD... Million 14 ni kiduchu mno.
Kwahiyo umeona hiyo tu ila ile mkopo wa $700 milion kutoka IMF hukuona?Aliekwambia Kenya wamepewa kwa riba kubwa ni nani? Soma hapa chini.
Kwenye hizo grant jumla hadi sasa ni Dollar million 300 na nchi nyingine zimetoa Dollar million 33 jumla 333 Millioni
Yah ...... ni dollar million 14 sawa na Tshs Billion 33Mimi nimeona blillion wewe unasema milioni sasa sijui nini kiko sawa?
Kwa akili yako unafikiri hiyo ya Tanzania ni sawa na ule mkopo wa Kenya wa dola milion 700?Tuliambiwa Kenya,Rwanda na uganda wanatumikia mikopo walitopewa Ila donor country hatuombi mkopo? Je huu mkopo utafungua ukurasa mpya? Au data za corona zinatumwa moja kwa moja kwa beberu?
Yah ...... ni dollar million 14 sawa na Tshs Billion 33
Akili zingine bana zinatia huruma Sana! Sisi tumepata +ve gain kwa kupunguziwa Deni na pia kupewa ahueni ya ulipaji Deni...Kenya wametumbukia kwenye shimo la Deni kubwa zaidi -ve loss...we kwa akili zako za kushikiwa unabeza ahueni ya Tz duh ipo kazi kwelikweli!Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?
Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Kuna watu huwa wanajitakia magojwa ya moyo kinguvunguvu! Magufuli ni ligi nyingine, hamuiwezi!Imekuuma mkuu, kwa nini Tz hii ipewe ushirikiano wa kifedha na imf..
Akili yako finyu sana. Bado wewe ni mgonjwa, mteja wa Milembe.
Mkuu si ungeomba wakalimani chemba badala ya kuja kujianika hapa!Nilijua hatutakopa tuko vizuri.
Hayo no madeni ya nyuma, tunataka yamalizike ili tuanze ku'donate'!Kumbe hela za mabeberu mnazitaka ila kutwa kuwasimanga!!
Shukuruni hao watu wako civilized, ila wangekuwa ni watu wa visasi kama nyie,wasingwapa hiyo debt relief mlioomba..
Huu siyo mkopo, ni kusamehe Deni na kupunguziwa makali ya kulipa Deni ndugu! Tangu mwanzo rais wetu aliwaambia Kama kweli wanna Nia nzuri, kipindi Cha corona ni Cha kusamehe madeni na sio kutuongezea kwa kutukopesha! IMF imeelewa na kutii!Tuliambiwa Kenya,Rwanda na uganda wanatumikia mikopo walitopewa Ila donor country hatuombi mkopo? Je huu mkopo utafungua ukurasa mpya? Au data za corona zinatumwa moja kwa moja kwa beberu?
Jielimishe vyema kuelewa maana ya " Debt Relief "Nilijua hatutakopa tuko vizuri.