IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

Uko sawa.

Ila inategemeana na matumizi ya huo mkopo.
Kama hautakuwa productive grace period haisaidii chochote ....

Still better kwetu kupewa discount kuliko kuongezewa deni.

Kwa Kenya kama serikali nyingi za Africa hizo pesa zinapigwa na viongozi hata usijejua ilifanyia nn.

Sikubishii ila mtazamo wangu
 
Tuliambiwa Kenya,Rwanda na uganda wanatumikia mikopo walitopewa Ila donor country hatuombi mkopo? Je huu mkopo utafungua ukurasa mpya? Au data za corona zinatumwa moja kwa moja kwa beberu?
Ninachoishukuru JF ni kutoa fursa hata kwa mamburura ku-expose u-mburura wao. Yaani hata maana ya "debit relief" hujui maana yake!
Kwa kukusaidia: Debt relief is a situation in which part of a debt is written off or the amount owed is reduced.
 
Hicho kiasi ni sahihi kweli?
 
Mbona ndogo sana.
 
Looks like everybody should dance the way Magufuli wants. Alipotoa wito kwa hizi Briton Woods institutions kutusamehe madeni badala ya kufikiria zaidi kutukopesha alipuuzwa. Kila siku kuna midomo inafungwa na huyu bwana.
 
Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?

Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Why giving money to politically dwarf leadership? Kenya, Rwanda, Uganda, Nigeria, Ghana, Ethiopia et la have bagged over a billion dollars each. Ours ending with a peanut pick!
 
Kuna watu wa ajabu utawasikia wakisema diplomasia imeshuka. Ikiwa IMF wanaweza kutoa statement chanya kama hiyo ni dhahiri kuwa serikali inahusiana vema na wadau wa kimataifa lakini kwa misimamo thabiti.
 
Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?

Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Wachumi tunakushauri ukaangalie kwanza mzigo wa madeni walionao Kenya kisha ufananishe na ule wa kwetu. Pia ufuatilie kila mmoja aliomba nini. Halafu baada ya hapo ufahamu kuwa maisha siyo kuiga wengine wanafanya nini. Ujidunze sense ya kujitegemea.
 
Hii maana yake kigogo is more resourceful in terms of providing valid secret document from the govt.
Huyo kigogo kuna wakati utafika mtaanza kumuazima ndoa zenu pia. Maana kama akili tayari mshazikabidhi kwake afikiri kwa niaba yenu.
 
Wajina wako kama umetoka kumsikia muda huu yeye hilo punguzo limemfurahisha kweli ana mpango wa kuandika barua ya kutoa asante.

Billion 8 si hela ndogo kwa mwezi inaweza jenga shule kadhaa kama ile aliyofungua Jaffo mkoa wa Kagera majuzi (imejengwa vizuri sana).

Issue ni kwamba seize the opportunity iliyojitokeza kama kuna policy za IMF zinazotoa mwanya wa wewe kupata ahueni kubwa tumia ukipewa billioni 8 huku unalipa billion 700; uwezi kulinganisha na debt freeze ya billion 700 hata kwa miezi 6 ina maana muda huo kila mwezi unanyongeza ya hiyo hela kwenye matumizi yako.

Sasa watu wenyewe kupitia UNDP na IMF wametengeneza economic models ambazo wanadai uchumi wako utaathirika sana badala ya kujifanya tajiri play along uwaambie hiyo billion 700 kuwalipa kwa hali ya sasa tena kutumia hizo hizo projections zao hali yako itakuwa mbaya sana maana unatarajia mapato kushuka.

Kenya sio wapuuzi COVID 19 aichagui mchana na usiku (ni lockdown gani ya usiku tu kwanza watu wapo majumbani muda huo) maana yake hatua zao ni kama zetu na sidhani kama rate yao na yetu ya maambukizi inatofauti kubwa sana wote ni kama tumechagua herd immunity (Uganda shahidi madereva wa malori kutoka Tanzania na Kenya wakipimwa huko wote wana Corona).

Tofauti ya Kenya na Tanzania they’re just playing a game kujifanya walau wanapambana na kuweka ukweli wameathirika kiuchumi (knowing tourism money kuja kwa sasa ni bahati nasibu) ni bora wapokee hizi grants ambazo most likely zitakuwa na low rate interest and probably reasonable grace period which is enough to stimulate their economy, kukusanya mapato; then kuanza kulipa deni.

Sisi tunabaki tunalilia watalii mpaka aibu sasa. Hakuna plan inayoeleweka in risk mitigation, anyway Magu anasema tupo sawa labda kweli ndio maana awaoni shida ya kuja na ujanja wa kufaidika na hili janga kupitia mabeberu.
 
Aliekwambia Kenya wamepewa kwa riba kubwa ni nani? Soma hapa chini.
Kwenye hizo grant jumla hadi sasa ni Dollar million 300 na nchi nyingine zimetoa Dollar million 33 jumla 333 Millioni
Grant USD 300M!! Hahaa tupe link jomba!
 
hili swala mbona kama baadhi yenu limewakera sana!!!

shida nini??
 
Ninachoishukuru JF ni kutoa fursa hata kwa mamburura ku-expose u-mburura wao. Yaani hata maana ya "debit relief" hujui maana yake!
Kwa kukusaidia: Debt relief is a situation in which part of a debt is written off or the amount owed is reduced.
Sasa unalichoandika hapo wewe usie mburura ni Nini? Ukienda kuomba mkopo kwa jamaa yako ambaye bado anakudai,Kisha anakuambia hiyo pesa unayotaka kunilipa usinilipe badala yake kaitumie kutatua matatizo yako wewe unaelewa nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…