IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
Sio nyuma tu na GDP yenyewe imeshuka
 
Kwahy hata wa Mr.elon hatujafikia, na hata Facebook tukisema tuinunue tunabaki weupee🤔
 
Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
Unaweza nitajia fisadi hata 1 ambae alihukumiwa na mahakama ya kifisasi na Mimi nikutajie waliofungwa awamu ya 6?
 
Elon Musk peke yake huko Marekani ana karibu mara 3 ya hela hiyo!
 


Upumbavu huu, chawa nyinyi tu
 
Tanzania tumeporomoka! Tulishafika nafasi ya 9 sasa tumerudi 10. Huu ni uzembe wa uongozi uliopo!
Kuporomoka Kwa ranking sawa ila kwenye value tumeongezeka sana ,kutoka Dola bil.70 Hadi Bil.80 ni ongezeko kubwa Kwa miaka 3.

Wengine Wamekuja Kasi zaidi hasa Ivory Coast
 
Mwarabu kapewa nini Kwa bei ya kutupa? Kwa nini wewe hujajitokeza upewe Kwa bei nzuri?
 
Acheni kujidanganya. Tanzania sisi tu masikini sana. Ethiopia GDP per Capita $ 1,900 while Tanzania $1,400. Tuna kazi kubwa mbele yetu. Tuombe Mungu stupatie viongozi maana mpaka sasa hatuna.
Sio kweli Ethiopia Iko Bado kwenye kundi la LDC haijaingia kwenye Lower middle income ,Rudi kwenye takwimu
 
Morocco is the game to watch

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1786489141737267456?t=5-ITob0MVt9dEDLzrTDuGQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…