Anayemielewa anisaidie!Ukichukua Tanzania hiyo Billioni 85 gawanya kwa 1400 midomo millioni zaidi ya 60. Obviously Midomo hiyo ni mingi zaidi ya Ghana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayemielewa anisaidie!Ukichukua Tanzania hiyo Billioni 85 gawanya kwa 1400 midomo millioni zaidi ya 60. Obviously Midomo hiyo ni mingi zaidi ya Ghana.
Kwamba pato la bilioni 85 ukigawanya kwa watu milioni 60 ni sawa na sh 1400 kwa kila mtu.Anayemielewa anisaidie!
Makasiriko =Mapunguani kama nyie Huwa hamkosekani..Aliyesema Tanzania imeingia Uchumi wa Kati sio mzungu Bali ni Gadafi.
Sio nyuma tu na GDP yenyewe imeshukaWewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
Kwahy hata wa Mr.elon hatujafikia, na hata Facebook tukisema tuinunue tunabaki weupee🤔Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita Nigeria na Misri ambazo zimekuwa zikiongoza Kwa miaka Mingi.
Pia takwimu hizo zinaonesha kufanya vizuri Kwa Nchi Tajiri ya Rasilima ya Algeria ambayo imeshika nafasi ya 3 juu ya Nigeria.
Kana kwamba haitoshi Nchi ya Ivory Coast imezipita Ghana na Tanzania na kushika nafasi ya 8 kutoka nafasi za chini zaidi.
Uchambuzi zaidi imeonesha Angola imeporomoka kiuchumi kutokana na sababu ambazo jazijabainishwa.
View attachment 2973637
My Take
Takwimu hizi Huwa zinabadilika Kila mwaka kutegemeana na Taasisi inayotoa takwimu.
Mathalani WB Huwa wanakadiria Uchumi wa Tanzania kuwa Dola Bilioni 85 na sio 80 zinazotajwa na IMF kama inavyosomeka kwenye taarifa hii hapa IMF/WB: Ukubwa Wa Uchumi wa Tanzania Wafikia Dola Bilioni 85.4 Mwaka 2023 kutoka Dola Bilioni 70 Mwaka 2021
-----
View attachment 2973631
In 2024, Africa's economic landscape showcases a mix of resilience and challenges, with South Africa emerging as the continent's largest economy according to the latest IMF data. The International Monetary Fund (IMF) has released its rankings, highlighting the economies in Africa based on GDP figures for the year. These rankings shed light on the economic trajectories of various nations and forecast future trends within the region.
Top 15 African Economies
The IMF's latest report reveals the following ranking of Africa's largest economies in 2024:
Despite facing persistent macroeconomic challenges, the overall economic outlook for Africa remains stable. The IMF's projections indicate that South Africa, Egypt, Algeria, and Nigeria will maintain their positions as Africa's top four economies until 2030. Notably, South Africa is poised to surpass Nigeria and Egypt to become the continent's largest economy, benefiting from energy supply improvements and logistical enhancements.
Nigeria, once Africa's largest economy, has slipped to the fourth position in 2024. The nation is grappling with multiple economic hurdles, including a soaring inflation rate of 33%, a weakening currency, and the aftermath of government economic reforms. Last year, the Nigerian government implemented significant policy changes, such as ending petrol subsidies and allowing market forces to dictate the currency exchange rate, leading to a surge in living costs.
Furthermore, Nigeria faces acute dollar shortages crucial for imports, exacerbating its dependence on foreign goods. The Nigerian Naira remains substantially devalued against the dollar, impacting both consumer purchasing power and import-dependent sectors.
To combat rising inflation, the Central Bank of Nigeria recently raised interest rates to 24.75% and eliminated electricity tariff subsidies. These measures aim to stabilize prices and restore economic confidence amidst challenging circumstances.
Meanwhile, Egypt, which held the top economic position in 2023, is projected to slide to the second spot behind South Africa due to successive currency devaluations. Despite this setback, the IMF forecasts that Egypt could reclaim the top position by 2027, underscoring the country's economic resilience and recovery potential.
Looking ahead, the IMF's World Economic Outlook emphasizes the need for sustained reforms and investments to bolster Africa's economic resilience. Countries like Kenya are expected to climb in the rankings, surpassing economies such as Angola in the coming years. Ethiopia's economy, holding steady in the fifth position, is projected to maintain its standing until 2030.
Africa's economic trajectory underscores the importance of strategic policies and investments to mitigate challenges and unlock growth opportunities across the continent. As nations navigate complex economic landscapes, sustained reforms and international partnerships will play a pivotal role in shaping Africa's economic future.
Chanzo: Africa View Facts
Unaweza nitajia fisadi hata 1 ambae alihukumiwa na mahakama ya kifisasi na Mimi nikutajie waliofungwa awamu ya 6?Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
Elon Musk peke yake huko Marekani ana karibu mara 3 ya hela hiyo!Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita Nigeria na Misri ambazo zimekuwa zikiongoza Kwa miaka Mingi.
Pia takwimu hizo zinaonesha kufanya vizuri Kwa Nchi Tajiri ya Rasilima ya Algeria ambayo imeshika nafasi ya 3 juu ya Nigeria.
Kana kwamba haitoshi Nchi ya Ivory Coast imezipita Ghana na Tanzania na kushika nafasi ya 8 kutoka nafasi za chini zaidi.
Uchambuzi zaidi imeonesha Angola imeporomoka kiuchumi kutokana na sababu ambazo jazijabainishwa.
View attachment 2973637
My Take
Takwimu hizi Huwa zinabadilika Kila mwaka kutegemeana na Taasisi inayotoa takwimu.
Mathalani WB Huwa wanakadiria Uchumi wa Tanzania kuwa Dola Bilioni 85 na sio 80 zinazotajwa na IMF kama inavyosomeka kwenye taarifa hii hapa IMF/WB: Ukubwa Wa Uchumi wa Tanzania Wafikia Dola Bilioni 85.4 Mwaka 2023 kutoka Dola Bilioni 70 Mwaka 2021
-----
View attachment 2973631
In 2024, Africa's economic landscape showcases a mix of resilience and challenges, with South Africa emerging as the continent's largest economy according to the latest IMF data. The International Monetary Fund (IMF) has released its rankings, highlighting the economies in Africa based on GDP figures for the year. These rankings shed light on the economic trajectories of various nations and forecast future trends within the region.
Top 15 African Economies
The IMF's latest report reveals the following ranking of Africa's largest economies in 2024:
Despite facing persistent macroeconomic challenges, the overall economic outlook for Africa remains stable. The IMF's projections indicate that South Africa, Egypt, Algeria, and Nigeria will maintain their positions as Africa's top four economies until 2030. Notably, South Africa is poised to surpass Nigeria and Egypt to become the continent's largest economy, benefiting from energy supply improvements and logistical enhancements.
Nigeria, once Africa's largest economy, has slipped to the fourth position in 2024. The nation is grappling with multiple economic hurdles, including a soaring inflation rate of 33%, a weakening currency, and the aftermath of government economic reforms. Last year, the Nigerian government implemented significant policy changes, such as ending petrol subsidies and allowing market forces to dictate the currency exchange rate, leading to a surge in living costs.
Furthermore, Nigeria faces acute dollar shortages crucial for imports, exacerbating its dependence on foreign goods. The Nigerian Naira remains substantially devalued against the dollar, impacting both consumer purchasing power and import-dependent sectors.
To combat rising inflation, the Central Bank of Nigeria recently raised interest rates to 24.75% and eliminated electricity tariff subsidies. These measures aim to stabilize prices and restore economic confidence amidst challenging circumstances.
Meanwhile, Egypt, which held the top economic position in 2023, is projected to slide to the second spot behind South Africa due to successive currency devaluations. Despite this setback, the IMF forecasts that Egypt could reclaim the top position by 2027, underscoring the country's economic resilience and recovery potential.
Looking ahead, the IMF's World Economic Outlook emphasizes the need for sustained reforms and investments to bolster Africa's economic resilience. Countries like Kenya are expected to climb in the rankings, surpassing economies such as Angola in the coming years. Ethiopia's economy, holding steady in the fifth position, is projected to maintain its standing until 2030.
Africa's economic trajectory underscores the importance of strategic policies and investments to mitigate challenges and unlock growth opportunities across the continent. As nations navigate complex economic landscapes, sustained reforms and international partnerships will play a pivotal role in shaping Africa's economic future.
Chanzo: Africa View Facts
Ila zile za Uchumi wa Kati ukawa unashangilia kwa.kutikisa makalio Yako zilitolewa na nani? PunguaniTakwimu zinazounga mkono unyonyaji wao.Hazina ukweli wa kutosha.
Wakenya 👇👇Hapa nakuelewa lakini kipi hapo umwekeza? Wahindi wachache kwenye manufacturing, Sisi vikaragosi tupo kwenye service, you didn’t mention the role of mainstay- business which the service sector will rely upon! DHL, EMS, etc etc watatumia nini kufanya service? Everything is in tatars
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita Nigeria na Misri ambazo zimekuwa zikiongoza Kwa miaka Mingi.
Pia takwimu hizo zinaonesha kufanya vizuri Kwa Nchi Tajiri ya Rasilima ya Algeria ambayo imeshika nafasi ya 3 juu ya Nigeria.
Kana kwamba haitoshi Nchi ya Ivory Coast imezipita Ghana na Tanzania na kushika nafasi ya 8 kutoka nafasi za chini zaidi.
Uchambuzi zaidi imeonesha Angola imeporomoka kiuchumi kutokana na sababu ambazo jazijabainishwa.
View attachment 2973637
My Take
Takwimu hizi Huwa zinabadilika Kila mwaka kutegemeana na Taasisi inayotoa takwimu.
Mathalani WB Huwa wanakadiria Uchumi wa Tanzania kuwa Dola Bilioni 85 na sio 80 zinazotajwa na IMF kama inavyosomeka kwenye taarifa hii hapa IMF/WB: Ukubwa Wa Uchumi wa Tanzania Wafikia Dola Bilioni 85.4 Mwaka 2023 kutoka Dola Bilioni 70 Mwaka 2021
-----
View attachment 2973631
In 2024, Africa's economic landscape showcases a mix of resilience and challenges, with South Africa emerging as the continent's largest economy according to the latest IMF data. The International Monetary Fund (IMF) has released its rankings, highlighting the economies in Africa based on GDP figures for the year. These rankings shed light on the economic trajectories of various nations and forecast future trends within the region.
Top 15 African Economies
The IMF's latest report reveals the following ranking of Africa's largest economies in 2024:
Despite facing persistent macroeconomic challenges, the overall economic outlook for Africa remains stable. The IMF's projections indicate that South Africa, Egypt, Algeria, and Nigeria will maintain their positions as Africa's top four economies until 2030. Notably, South Africa is poised to surpass Nigeria and Egypt to become the continent's largest economy, benefiting from energy supply improvements and logistical enhancements.
Nigeria, once Africa's largest economy, has slipped to the fourth position in 2024. The nation is grappling with multiple economic hurdles, including a soaring inflation rate of 33%, a weakening currency, and the aftermath of government economic reforms. Last year, the Nigerian government implemented significant policy changes, such as ending petrol subsidies and allowing market forces to dictate the currency exchange rate, leading to a surge in living costs.
Furthermore, Nigeria faces acute dollar shortages crucial for imports, exacerbating its dependence on foreign goods. The Nigerian Naira remains substantially devalued against the dollar, impacting both consumer purchasing power and import-dependent sectors.
To combat rising inflation, the Central Bank of Nigeria recently raised interest rates to 24.75% and eliminated electricity tariff subsidies. These measures aim to stabilize prices and restore economic confidence amidst challenging circumstances.
Meanwhile, Egypt, which held the top economic position in 2023, is projected to slide to the second spot behind South Africa due to successive currency devaluations. Despite this setback, the IMF forecasts that Egypt could reclaim the top position by 2027, underscoring the country's economic resilience and recovery potential.
Looking ahead, the IMF's World Economic Outlook emphasizes the need for sustained reforms and investments to bolster Africa's economic resilience. Countries like Kenya are expected to climb in the rankings, surpassing economies such as Angola in the coming years. Ethiopia's economy, holding steady in the fifth position, is projected to maintain its standing until 2030.
Africa's economic trajectory underscores the importance of strategic policies and investments to mitigate challenges and unlock growth opportunities across the continent. As nations navigate complex economic landscapes, sustained reforms and international partnerships will play a pivotal role in shaping Africa's economic future.
Chanzo: Africa View Facts
Kwa hiyo tukusaidiaje?Upumbavu huu, chawa nyinyi tu
Data zipi wewe mbuzi?Mimi nakufundisha kabisa Macro-Economics achana na Micro,wewe ni chizi,fuatilia data
JF hawatoi fursa ya ku edit heading mpaka wao wenyeweEdit ili twende sawa
Kuporomoka Kwa ranking sawa ila kwenye value tumeongezeka sana ,kutoka Dola bil.70 Hadi Bil.80 ni ongezeko kubwa Kwa miaka 3.Tanzania tumeporomoka! Tulishafika nafasi ya 9 sasa tumerudi 10. Huu ni uzembe wa uongozi uliopo!
Mwarabu kapewa nini Kwa bei ya kutupa? Kwa nini wewe hujajitokeza upewe Kwa bei nzuri?Tatizo la watanzania (baadhi, hasa chawa) ni kupenda kujisifu kwa vitu hata wasivyoelewa. Wanachojua tu ni 'pongezi kwa mama '. GDP, kama ilivyoletwa hapo na mleta mada ni pato ghafi jumla la taifa, ambalo ukigawia kwa idadi ya raia wa taifa husika, unapata Pato la wastani kwa kila raia wa nchi hiyo (GDP per Capita). Mfano: Tanzania GDP = $85 bil. ÷ 60mil. (population) =$ 1,417 approx; ndio pato la wastani la mtanzania kwa mwaka. Nchi ya Equatorial guinea GDP = $10bil. ÷ 1.7mil. (population) = $ 5.9mil. approx; ndio pato la Equato Guinean kwa mwaka. Kwa hiyo utaona Pato la wastani kwa raia wa E. Guinea ni zaidi ya mara nne ya lile la mtanzania. Tanzania ni nchi masikini- tena sana, ila hatungepaswa kuwa masikini- kiasi hiki kwa vile tuna rasilimali nyingi mno. Tatizo ni viongozi tulip nao (serikali ya ccm), ndio wa kulaumiwa. Serikali inapaswa kusimamia vizuri rasilimali za taifa hili, na kuwa na sera nzuri za kuvutia uwekezaji wenyewe tija, si Kila kitu unampa mwarabu kwa bei ya kutupa. Sasa hapa watu kazi kuimba tu mapambio mara pongezi, anaupiga mwingi, haijawahikutokea nk. Nasikia kuna 'slim' alisema 'nipeni hiyo bandari kila mwaka niwape pesa inayotosha bajeti yenu na mimi nibaki na faida'. Hata kama sio kweli angeweza kutupa pesa nyingi hivyo, lakini angalia ni kiasi gani anatudharau kwamba hatuwezi kusimamia rasilimali zetu.
Sio kweli Ethiopia Iko Bado kwenye kundi la LDC haijaingia kwenye Lower middle income ,Rudi kwenye takwimuAcheni kujidanganya. Tanzania sisi tu masikini sana. Ethiopia GDP per Capita $ 1,900 while Tanzania $1,400. Tuna kazi kubwa mbele yetu. Tuombe Mungu stupatie viongozi maana mpaka sasa hatuna.
Morocco is the game to watchHapo kwenye orodha ya pili
IIla naunga mkono hoja ya ERoni ,Afrika bado Maskini sana ....
- Misri,Algeria,Tunisia,Morocco na South Africa...pumzi zao ndiyo zimeishia hapo hawana kipya cha kufanya uchumi wao ukue kwa zaidi ya 7%
- D.R.C na Ethiopia, hizi na za kuogopwa kwa maana zina utajiri wa kutosha na Idadi kubwa ya Rasilimali watu,
- Machafuko nchini mwao yakipungua, zitakua kileleni
- Nigeria ina nafasi ya kuwa kwenye Top 3 ,bado ina dirisha kubwa la kukua. Waache Rushwa, Utekaji
- Kenya,Tanzania,Ivory Coast na Ghana ni mwendo wa kubadilishana nafasi tu.Hazipo serious ....
- Tunisia ni ya 15 ,lakini ina miundombinu na huduma bora kuliko nusu ya nchi zilizo juu yake.
Yani nchi yetu jinsi tunavyolia shida,,,Shule hazina matundu ya vyoo lakini ni moja ya nchi 10 Tajiri Afrika.
MoroccoNchi 4 kati ya hizo 10 ndio sielewe uchumi wao unapandishwa na kitu gani.
Nchi hizo ni Kenya,Ghana,Ivory Coast na Morocco