IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
ifikie kipindi nchi yangu ione aibu, wewe kila siku ni wa kupewa misaada..
 
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Uchumi wa Kati.... Jpm
 
Ujinga mzigo sana. tunasema misaada wakati ni sehemu ya fedha zetu walizochukua kutokana riba kubwa kwa mikopo wanayotudai? Mungu usitusaidie waafrika labda watoto wetu watakuja kuamka huko mbele.
 
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Nchi inakopa kununua V8 na anasa tupu
 
Hivi sisi Tanzania na Congo pamoja na madini yote tuliyonayo bado ni masikini hoehae?! Kuna kipindi tulikuwa dona kantri!!

Wewe unachimba madini? Unamjua mchimbaji hoehae?

Usitegemee mwingine afanye kazi wewe ule tu.
 
Dona wa nyooko.

Harafu nani aliwadanganya kwamba Tanzania ni Tajiri wa Madini? Yapi hayo?

Wabongo hawajui hawapo top10 ya uzalishaji madini yeyote Yale Africa let alone Duniani ukitoa tanzanite inayopatika bongo tu so there's no competition there really.

Aliyewaambia wabongo ni matajiri wa rasilimali hivyo wategemee hela za bure tu aliwaweza wamekua mazwazwa kabisa.
 
Mengi Yao ni mapumbavu.Waambie wakutajie Madini gani hayo Tanzania Ina reserves kubwa?

Tanzanite Haina maana yeyote coz haina thamani kubwa
 
Mpaka aibu pamoja na kuwa na amani miaka yote sitini bado ni omba omba na tupo kundi moja na nchi zilizopigana vita kama Somalia, Rwanda, DRC na Burundi.

Wizi, Rushwa na ufisadi vinatudumaza mno.

Nchi makini tulizokuwa nazo sawa kiuchumi ziko mbali mno mfano Singapore tu.

Aibu sana.
 
Pamoja na Rwanda kuwa failed state 1994, na kuanzia moja, ila nashangaa kuona bado tunapewa naye mikopo.
 
Back
Top Bottom