RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Sasa mkuu hii ni report au nijalida liloandikwa na mtu kama wewe?. Mfano wanasema Tanzania hakuna mfumko wa bei, je unakubalina nahilo? Wakati Tanzania Kila kitu kimepanda bei, mpaka nauli tu zimepanda bei, then wanasema uchumi unakua Kwa 5.5 kutoka 5, Sasa huo uchumi unakua Kwa watu kama MO ,GSm, Bakharesa namtajiri wengine haumfikii mtu wachini Moja kwa moja. Napia 5.5 nindogo mno, ilitakiwa angalau uchumi ukue Kwa 10% mpaka 14% kulingana n rasilimali tulizonazo na amani yetu kammtani. Sasa kama tunawekwa kundi Moja na Rwanda,Congo,Somalia nawengineo tunajisifu nini?.