IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

IMF haijaanza Leo kutoa pesa za Msaada wa kibajeti,Toka zama za Nyerere Inatoa so acha stori za kufikirika.

Harafu punguza kukurupuka weka source ya habari .
Madeni ndo hoja kuu!

Je kwa Nyerere au Samia madeni ni sawa!

Samia na JPM je madeni nani kiboko?

Samia katisha sana upande wa kukopa
 
Acha uongo wewe,zingeenda huko usingesikia habari kama hizi 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1739237585250378018?t=ttwKvdKvab6rNmNxksA3pg&s=19

Wizi upo ambao ni udokozi sio Ufisadi wa kiwango Cha kuhujumu miradi.

Attachments

Kuwa na Wizara ya Madini Haina maana kwamba Tzn ni Tajiri wa Madini maana hakuna Madini mengi ya kuifanya Tanzania Tajiri.

Ni tumadini twa kubangaiza.

Sasa mkuu huoni Kuna shida. Tunakuwa na wizara ya madini wakati madini sio ya kutosha?. Kwanini tusiwe na Tume au Idara ya madini pekee?.
 
Nashauri Serikali iongeze kukopa,upunguze Ili huko kwenu Namtumbo ujenge lini Barabara?

Kiuchumi nchi inapokopa sana itapelekea mzigo wa madeni na nchi kuingia kwenye default. Maana nchi inapokopa ile riba kubwa inachukua nafasi ya pesa za maendeleo. Mwisho wa siku Deni linaongezeka na mahitaji ya nchi yanaongezeka. Ndio maana Kuna mambo Kama tozo, ili kufidia Deni.
 
Unapokopa sana na ukawekeza sana kwenye maeneo ya kukuza uchumi Kwa haraka hakuna huo mzigo wa Madeni ila kama unawekeza kwenye mambo ya Bora liende kama haya anayoongea Ummy hapa tarajia majanga.

View: https://www.instagram.com/p/C1MBcmnKsI5/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Back
Top Bottom