RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Report ya hio Tathimini Iko wapi?.Vipi hao hao IMF wakisifia Serikali mbona Huwa mna mapovu?
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1738138241444786221?t=LRui_Ouv6QwDlBnnZHcpHw&s=19
Maendeleo yapi hayo sasa kama uchumi unatupiga chenga miundombinu ndio vile tena imagine na hela za uviko ila mpaka sasa kuna shule watoto wanakaa chini kwenye vumbi maendeleo yapi hasa unayosemea na tuendako mfumoko wa bei na nchi kukosa nguvu ya uwekezaji ni jini linalotutafuna mpaka litumalizeBaada ya kukopa ni kulipa na tunakopa Ili tu boost maendeleo na Tija ya uzalishaji
Serikali haigawi pesaMaendeleo yapi hayo sasa kama uchumi unatupiga chenga miundombinu ndio vile tena imagine na hela za uviko ila mpaka sasa kuna shule watoto wanakaa chini kwenye vumbi maendeleo yapi hasa unayosemea na tuendako mfumoko wa bei na nchi kukosa nguvu ya uwekezaji ni jini linalotutafuna mpaka litumalize
Hii hapa πReport yahio Tathimini Iko wapi?.
Kwani hujawahi kuona nyumba inagraduate wa shahada za chuo ila ni masikini hatari.Hivi sisi Tanzania na Congo pamoja na madini yote tuliyonayo bado ni masikini hoehae?! Kuna kipindi tulikuwa dona kantri!!
Maendeleo yapi ayo?mpaka leo Watoto wanakaa chini shuleni,dawati la 50000 mpaka muombe msaada!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hatukatai lakini hebu sema maendeleo yapi hayo kama hatuwezi kulipa madeni mpaka tuhurumiwe na mabeberu kama hatutumii mali zetu za asili kujinufaisha kama hatuwezi kuifanya Tanzania sehemu salama na sahihi ya kuishi.Serikali haigawi pesa
Kila mwaka Serikali inalipa Madeni kati ya sh Trilioni 8-10. Sasa kuhurumiwa ni kipi huko? Kukopesha Ili ulipe Madeni wakati unadunduliza makusanyo ni jambo la kawaida.Hatukatai lakini hebu sema maendeleo yapi hayo kama hatuwezi kulipa madeni mpka tuhurumiwe na mabeberu kama hatutumii mali zetu za asili kujinufaisha kama hatuwezi kuifanya tanzania sehemu salama na sahihi ya kuishi kama hatuwezi kuondoa tabaka kati ya walio nacho na wasio nacho sasa hizi serikali zetu zinakipi cha maana na tunakopa kama nchi zingine na huenda tumewazidi mikopo ila wao wanamaendeleo sisi hatuna kinachofanyika cha maana
πππ€£π€£πππHivi sisi Tanzania na Congo pamoja na madini yote tuliyonayo bado ni masikini hoehae?! Kuna kipindi tulikuwa dona kantri!!
Ripoti gani hiyo?Tunakopa kisha wanazifanyia ndio za kulipana masurufu ya safari- rejea report ya WB
Jiulize kwanini wewe ni maskini, nchi yetu ni tajiri.Hivi sisi Tanzania na Congo pamoja na madini yote tuliyonayo bado ni masikini hoehae?! Kuna kipindi tulikuwa dona kantri!!
Dona wa nyooko.
Harafu nani aliwadanganya kwamba Tanzania ni Tajiri wa Madini? Yapi hayo?
Hakuna Nchi Imewahi endelea bila kukopa,kama unaijua itaje hapa.
Kumbe wewe ulitakaje?Kwa hivyo tuendelee kukopa tu.