IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

Sasa mkuu hii ni report au nijalida liloandikwa na mtu kama wewe?. Mfano wanasema Tanzania hakuna mfumko wa bei, je unakubalina nahilo? Wakati Tanzania Kila kitu kimepanda bei, mpaka nauli tu zimepanda bei, then wanasema uchumi unakua Kwa 5.5 kutoka 5, Sasa huo uchumi unakua Kwa watu kama MO ,GSm, Bakharesa namtajiri wengine haumfikii mtu wachini Moja kwa moja. Napia 5.5 nindogo mno, ilitakiwa angalau uchumi ukue Kwa 10% mpaka 14% kulingana n rasilimali tulizonazo na amani yetu kammtani. Sasa kama tunawekwa kundi Moja na Rwanda,Congo,Somalia nawengineo tunajisifu nini?.
 
Acha ujinga basi ,Hilo unaloita jarida ni maalumu Kwa kazi za utathmnini wa uwezo wa kulipa Madeni Kwa Nchi zote Duniani.

Zipo kampuni 3 Kwa kazi hiyo ndio maana ni source rasmi.
 
Acha ujinga basi ,Hilo unaloita jarida ni maalumu Kwa kazi za utathmnini wa uwezo wa kulipa Madeni Kwa Nchi zote Duniani.

Zipo kampuni 3 Kwa kazi hiyo ndio maana ni source rasmi.
Tuamini Hilo jarida au tuamini IMF wanaosema Tanzania nimiongoni mwa nchi masikini zaidi ukanda huu.
 
Dona kantre inakuaje tena wajameni?
johnthebaptist
 
Mambo ya GDP uwayanachanganya ukiangalia nchi za scandinavia ni hatari wananchi wake wanaishi maisha mazuri kuzidi hata USA lakini GDP ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…