mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 657
si tunaitwa Tanzania Bara, tatizo liko wapi? Shida yako hasa ni nini? ni jina Tanganyika tu? au ni lazima tuitwe Tanganyika ndio uridhike? tatizo liko hapo? au ni mimi labda sikuelewi? embu nisaidie kwa mara ya mwisho kukuelewa kama ukiweza!
Tanzania bara manake nini?
Una maanisha nini? maana ya neno Bara au vipi, fafanua kama ukiweza!
aise we jamaa wa ajabu sana, nimekuuliza neno zima "Tanzania bara " sijaligawa
Pouwa basi tuishie hapo labda mimi ndio mgumu kuelewa! kwa maana nijuavyo mimi kama mtu anafamu Kiswahili Tanzania Bara linajieleza!
yaonekana hujajitambua bado,na kama hujitambui ina maana hujakomboka bado. na waswas hata jina lako huelewi maana yake nini
Tanzania bara imetokana na muungano.......Tanzania visiwani umeisikia mara ngapi katka maisha yako..........hata rasimu inatamka wazi kwenye ibara ya kwanzaUna maanisha nini? maana ya neno Bara au vipi, fafanua kama ukiweza!
Tanzania yenye serikali moja ndiyo itakuwa suluhisho la kudumuisha umoja wetu, utaifa wetu na maendeleo ambayo tunayataka
Mifano iko Mingi ya Muungano wa nchi ambyao imeua jina moja wa wanachama kwa mfano,
Kwa nini jina liwe Ishu? Jina linabadilisha nini? tungekuwa tunaongelea faida na hasara
Hili ndilo wasilotaka wazanzibari.......nchi yao kumezwa katika kivuli cha serikali moja!
Hakuna cha wazanzibar kumezwa na serikali moja maana wote tutakuwa ni watanzania wenye taifa lenye umoja, upendo, ushirikiano, na mshikamano katika kulinda na kutetea maliasili zetu.Hatutakuwa tena na kulilia kuitwa mimi mzanzibar au mpemba au mtanganyika.
Tutakuwa na uhuru wa kuishi mahali popote Tanzania bara au visiwani bila kukiuka sheria za nchi.Wapemba,Wazanzibar, Wanamtwara, Wanatabora, Wanadodoma etc wote tutakuwa kitu kimoja na kile tunachopata katika taifa letu tutaweza kushare kwa equity
Hicho kitu hakiwezekani!
Unashindwa kuelewa kitu kimoja Zanzibar ni Nchi ya zamani sana kuliko Tanzania Bara,
Hapa ndipo ninapo kushangaa mwanakijiji kwa akili zako,hivi unaweza kunambia tanzania bara ilipata uhuru wake lini?Hapo ndipo mnapojidanganya; nani kakuambia Zanzibar ni nchi ya zamani sana kuliko Tanzania bara? uzamani wa vipi? Watu wameishi Tanzania bara kabla ya kuishi Zanzibar; wakiishi na mifumo yao ya utawala tangu enzi na enzi...
Mkuu umekusudia tanganyika au tanzania bara?Hapo ndipo mnapojidanganya; nani kakuambia Zanzibar ni nchi ya zamani sana kuliko Tanzania bara? uzamani wa vipi? Watu wameishi Tanzania bara kabla ya kuishi Zanzibar; wakiishi na mifumo yao ya utawala tangu enzi na enzi...
Hapo ndipo mnapojidanganya; nani kakuambia Zanzibar ni nchi ya zamani sana kuliko Tanzania bara? uzamani wa vipi? Watu wameishi Tanzania bara kabla ya kuishi Zanzibar; wakiishi na mifumo yao ya utawala tangu enzi na enzi...
Muafaka ilikuwa ni kuanza kukubaliana muungano au la na kisha kama ni muungano ni wa jinsi gani. Kwa hiyo kura ya maoni isingekuwa ya Zanzibar tu bali hat sisi wa bara.Kimsingi Wazanzibar wamesema na wanasema wao hawakushirikishwa na Rais wao wa kwanza namna ya kuingia katika muungano! Ndo maana walitaka kuwepo kura ya kuamua either waendelee kuwapo ndani ya muungano or hapana! kwa kuwa kura hiyo haikuwepo basi kiu hii nayo haijawatoka zaidi ya kuja na serikali tatu! maanake ni kuwa muungano huu unapendwa na wabara ila wao ni mpaka tungepata majibu ya kura ya kuutaka au kuukataa muungano. Warioba na tume yake wamefanya shortcut badala ya kuanza na kura kwa wazanzibar.